Hayo ni maoni yako ndg, wanaopinga nao wana hoja zao hivo kwa vile ni hiari kila mtu aamue mwenyewe,Tatizo lilianzia mbali kidogo,tulipojikongoja shida ya covid-19 ilipoanza,baadae tukajiandaa kuchukua tahadhari na kutoa elimu kwa kipindi kifupi,tena tukaanza kukatisha tamaa waliokuwa tayari kuzingatia taratibu za kujikinga na kuwashawishi wasiwe na hofu,hivyo kazi yote tuliyoianza ikarudi sifuri.
Kwa Sasa tunachokiona ni matunda ya kile tulichokipanda kwa tunaowataka wakaipate chanjo.Hali iko hivi kwakuwa tuliwafundisha ,na kuaminishwa isivyo wengi wakisikia chanjo ,kwanza wanatanguliza nia ya chanjo yeyewe.
Kulingana na alivyoaminishwa,ila ukweli ni kuwa wale wauelewa wa kawaida wakisikia habari ya chanjo ni mbio nyingi kiasi hata cha kuacha mguu mmoja nyuma.Hivyo ipo kazi ya kutoa elimu upya kuanzia sifuri.
Tz tuko vizuri tu tena sana, waliojifungia na sisi ambao hatukujifungia hakuna tofauti tena kwao yaweza kuwa worse zaidi,
Rais kasema hili ni kuishi nalo tu hakuna namna