#COVID19 Rais ulifanya makosa makubwa kuifanya chanjo kuwa hiari, ulipaswa kukubaliana na Mbowe kuwa chanjo lazima ili tuweze kupambana na Gwajima

#COVID19 Rais ulifanya makosa makubwa kuifanya chanjo kuwa hiari, ulipaswa kukubaliana na Mbowe kuwa chanjo lazima ili tuweze kupambana na Gwajima

Tatizo lilianzia mbali kidogo,tulipojikongoja shida ya covid-19 ilipoanza,baadae tukajiandaa kuchukua tahadhari na kutoa elimu kwa kipindi kifupi,tena tukaanza kukatisha tamaa waliokuwa tayari kuzingatia taratibu za kujikinga na kuwashawishi wasiwe na hofu,hivyo kazi yote tuliyoianza ikarudi sifuri.

Kwa Sasa tunachokiona ni matunda ya kile tulichokipanda kwa tunaowataka wakaipate chanjo.Hali iko hivi kwakuwa tuliwafundisha ,na kuaminishwa isivyo wengi wakisikia chanjo ,kwanza wanatanguliza nia ya chanjo yeyewe.

Kulingana na alivyoaminishwa,ila ukweli ni kuwa wale wauelewa wa kawaida wakisikia habari ya chanjo ni mbio nyingi kiasi hata cha kuacha mguu mmoja nyuma.Hivyo ipo kazi ya kutoa elimu upya kuanzia sifuri.
Hayo ni maoni yako ndg, wanaopinga nao wana hoja zao hivo kwa vile ni hiari kila mtu aamue mwenyewe,

Tz tuko vizuri tu tena sana, waliojifungia na sisi ambao hatukujifungia hakuna tofauti tena kwao yaweza kuwa worse zaidi,

Rais kasema hili ni kuishi nalo tu hakuna namna
 
Itakua lazima tu hivi karibuni pale utakapo ambiwa huwezi ingia hospitali bila kadi inayo onesha ume chanjwa
Na akitokea mwingine, akasema hauingii nyumbani kwangu bila udhibitisho wa kuonyesha bado haujachanjwa!!! Ninyi pimeni mapendekezo yenu kabla ya kuyaweka hewani. Yaani mnataka kuvuruga amani ya nchi kwa visingizio vya kuchanjwa ama kutochanjwa....!?

Mama ameishasema kuwa chanjo ni hiyari, na serikali imesisitiza hivyo. Ndiyo maana imetoa fomu ya kuiondoa serikali kwenye lawama endapo channjo itakudhuru. Mnataka muambiweje!?
 
Wasalaam wana jamvi.

Mimi ni mmoja wa watu ambao kusema kweli nilitamani kabisa swala la chanjo liwe kwa lazima kwa kila mtanzania na hili lilipaswa kuwekwa wazi kabisa na Mh Rais pale alipotangaza ujio wa chanjo hiyo kwani ingesaidia sana kupambana na watu wanaopinga chanjo hiyo.

Nakumbuka hivi karibuni Mh Mbowe aliweka wazi kabisa kuwa anataka serikali itoe chanjo kwa watanzania wote kwa lazima lakini alipata upinzani mkubwa kutoka kila upende na watu tukasahau kuwa kuna wamba watatumia huo mwanya wa chanjo ya hiari kuipinga chanjo na kuwatisha na kuwahamasisha wengine wasiende kupata chanjo kwani sio lazima. Kwa hiyo mtu akishawishiwa kutokwenda na asipo kwenda hakuna kosa kwani ni hiari Mtu akishawishiwa kwenda na akafanikiwa kwenda bado hakuna kosa lolote...

Madhara ya chanjo ya hiari ndiyo haya lazima watazuka watu kutoa maoni yao na watazuka watu kuwahamasisha watu kutochanjwa hivyo ni lazima tukubali kuwa watu wameamua kuutumia mwanya uliotengenezwa na mamlaka zenyewe hatupaswi kuwatisha bali nasisis tuwashawishi wengine wakachanjwe lazima kuna mmoja wetu atafanikiwa.

Kuwashambulia watu ambao tumewapa uhuru sisi wenyewe kwani ni sisi tuliosema kuwa chanjo ni hiari kwa hiyo kamwe hatupaswi kusema kuna watu wanapotosha bali tunatakiwa kutoa elimu juu ya chonjo na kuwashawishi watu wakachanjwe.

Ukweli ni kwamba watu walipaswa kupewa elimu kuhusu chanjo lakini kwakuwa serikali haikutoa elimu kuhusu chanjo basi tumetoa mwanya wa watu kufundishwa na watu ambao pengine tusingependa na hayo ndio madhara ya chanjo ya hiari.
Askofu Rashid Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya,wamebakia kubweka bweka tu lakini cha kumfanya hawana. Gwajima ana 'watu'.
 
Wasalaam wana jamvi.

Mimi ni mmoja wa watu ambao kusema kweli nilitamani kabisa swala la chanjo liwe kwa lazima kwa kila mtanzania na hili lilipaswa kuwekwa wazi kabisa na Mh Rais pale alipotangaza ujio wa chanjo hiyo kwani ingesaidia sana kupambana na watu wanaopinga chanjo hiyo.
Wala usipate taabu!!!

Taarifa za kitabibu zinasema mtu anakuwa highly protected anapokuwa Fully Vaccinated!! Ukichanjwa mara moja, endelea kuchukua tahadhali hadi pale utakapokuwa full vaccinated.

Cha kuombea ni chanjo kuja kwa wingi, na hao Wanaomsikiliza Gwajima, ambao wengi wao kimsingi wanachofanya ni kulinda legacy ya Magu, achana nao!!
 
Mungu akusamehe sana.You dont know what the "hell" you are dealing with.
Sio miezi mingi sana mtatamani asingechanjwa hata mmoja wetu maana tunaleteana matatizo wote.
Bahati mbaya yatakapotokea mtasema ni sisi tusiochanjwa ndio tunasababisha kumbe ni nyinyi mnaochanjwa mnakwenda kuiletea dunia tatizo kubwa sana.Mmeuvaa mtego!
Ila Mungu mwema.Huenda akaingilia kati BiG PLAN isifike mwisho.
Endeleeni kutuona machizi!Time will tell!
 
Back
Top Bottom