Kuna aliyepandishwa ndege akaachwa guest house Dar, asubuhi anaangalia taarifa ya habari ni kuwa mgombea wa CCM amepita bila kupingwa.Hajawahi kushiriki uchaguzi bila figisu
Unaambiwa kule jimboni kwake kupita bila kupingwa zilikuwa ni figisu tu
Hata Libya Gadafi aliwapa kila kitu isipokuwa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Kilichotokea Libya imekuwa historia.
Hong Kong kuna kila kitu hadi kuna mikono ya robot ya kukupakata na kukutawaza chooni kwa kila nyumba lakini wanaandamanaAt least libya hawakukandamizwa, nyumba zilikiwa bei rahisi,elimu ya chuo bure,matibabu bei rahisi karibia na bure.
Kuna aliyepandishwa ndege akaachwa guest house Dar, asubuhi anaangalia taarifa ya habari ni kuwa mgombea wa CCM amepita bila kupingwa.