pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,577
Sikuhizi ni msafi wa kusamehe dhambi
Shetani huwa anajisafisha kwa muda tu..
Sikuhizi ni msafi wa kusamehe dhambi
Halafu hakulipwa pesa aliyoahidiwaKuna aliyepandishwa ndege akaachwa guest house Dar, asubuhi anaangalia taarifa ya habari ni kuwa mgombea wa CCM amepita bila kupingwa.
Walikuwepo akina chiluba, Abacha, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, Hitler, Iddy Amin Dada alikuwa na msaidizi wake aliitwa maliyamungu ambaye alikuwa na Roho mbaya kama ya Bashite wapo wapi sasa? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa.
#changeMarangu
Wapinzani tunawategemea sana kwenye Amani ya nchi hii lakini kama tutaendelea kucheka na manyani makubwa yasilolitakia mema taifa ni hitar lazima kuyaua tu hakuna namna ili kulinda uhai wa taifa
TUMEAMUA NCHI IENDE NA ITAENDA
Miradi inayogusa direct maisha ya wananchi haina 10% wataibaje ili wakawekeze Rwanda na Uganda?Anajua Fika anafanya Madudu ambayo hayagusi Maisha ya watanzania wa Kawaida na Generally hapendwi.
Angekaa Pembeni atuachie Nchi yetu ili tupendane kweli kweli!
HAWATUUMIZI KICHWA DAWA IPO MKUUNi wivu tu.
Halafu hakulipwa pesa aliyoahidiwa
Ninyi nyote mtakua ni wa-Kilimanjaro tu,wenye uchu na Ikulu muende kupata utajiri...MUNGU anawajua na hatawaruhusuhayo yote bila upendo ni kazi bure. mzee ana chuki iliyokithiri dhidi ya watanzania wenye mtizamo tofauti na yeye.
Kile Kishindo za kuzushiwa kifo hata kama ningekuwa mimi ningekataa uchaguzi.
Hong Kong kuna kila kitu hadi kuna mikono ya robot ya kukupakata na kukutawaza chooni kwa kila nyumba lakini wanaandamana
Analipiza kisasi cha kunyeshwa sumuhayo yote bila upendo ni kazi bure. mzee ana chuki iliyokithiri dhidi ya watanzania wenye mtizamo tofauti na yeye.