Rais umefanya yote haya, kwanini unaogopa uchaguzi?

Rais umefanya yote haya, kwanini unaogopa uchaguzi?

minyoo,
yaani we ni kama mwanamke malaya anaye subiri jamaa adinde ukamhudumie yaani maendeleo yooooooooooote haya huyaoni ? nimekuambia niambie viti viwili tu vya juu mtampa nani? mwenye akili? maana wote ni majuha tu naona unavyoumiza akili yako kuyatetea hayo mahuni tu mijizi mila ruzuku pumbavu
 
wewe hujui hata ruzuku yenu inavyoliwa na mbowe yaani mnateseka kumtetea mtu ambaye hawezi kusafishika hata kwa petroli
Ruzuku ya CCM inapigwa vibaya kuliko chochote hata miradi yote ya CCM kuna upigaji, CCM ni ile ile hawana cha kuwanyoshea wengine vidole kwani kwao kunanuka zaidi ya kokote
 
Ruzuku ya CCM inapigwa vibaya kuliko chochote hata miradi yote ya CCM kuna upigaji, CCM ni ile ile hawana cha kuwanyoshea wengine vidole kwani kwao kunanuka zaidi ya kokote
awamu hii imeingia madarakani account ya ccm ilikuwa haina kitu sasa kachungulie uone kibubu kilivyojaa tumedhibiti
 
yaani we ni kama mwanamke malaya anaye subiri jamaa adinde ukamhudumie yaani maendeleo yooooooooooote haya huyaoni ? nimekuambia niambie viti viwili tu vya juu mtampa nani? mwenye akili? maana wote ni majuha tu naona unavyoumiza akili yako kuyatetea hayo mahuni tu mijizi mila ruzuku pumbavu
Haya matusi yako ni ya kishamba ni matusi hutumiwa na vilaza majuha Fulani wavuta unga Bangi, mtu mwelewa hawezi kuandika matusi ya kijinga jinga kama yako , tulia ulee mimba ya Le mutuz lakini ukumbuke kupima HIV mapema, Miaka 58 hakuna maendeleo ingawa nyerere kidogo alijenga viwanda na nyumba za Serikali lakini vyote mmeuza na pesa mkagawana na sasa pesa za walipa kodi ambao siyo CCM mnazitumia vibaya kununua Ndege kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge kisha kujidai ni maendeleo hayo.
 
awamu hii imeingia madarakani account ya ccm ilikuwa haina kitu sasa kachungulie uone kibubu kilivyojaa tumedhibiti
CCM ni ukoo wa panya baba mwizi mpaka kitukuu mwizi ufisadi upo pale pale pesa ya CCM inapigwa sana na wajanja wachache kama hujui tena pesa nyingi inapitishiwa kwa Le mutuz na cyprian Musiba kwa kisingizio cha kuzutumia kudidimiza upinzani kurejesha mfumo wa chama kimoja.
 
zimetoka wapi sasa zilizoko bank accountt ya ccm? unaropoka tu kama vilaza wenzio
 
Niliisikia hivyo huenda ni kweli

Sio nasikia...huyo bwana nimesoma naye huko biharamulo...hii story naifahamu nje ndani mkuu...Kimsingi huyo jamaa wa cha buguruni asingeshinda ila angempa upinzani Mkubwa Meko maana alikuwa anakubalika sana Kwenye kundi la vijana na dini kwa kiasi ilikuwa inambeba. Kwa vile Meko hapendi challenges akaona amlaghai jamaa kwa mlungula na offer ya masomo ng'ambo. Kwa vile jamaa umri ulikuwa bado akaona akubali hyo offer kwa malengo ya baadae...ndio ikawa hvyo mwishowe.
 
HATA WAJENGE VIWANDA VYA NDEGE,NYUKILIA NK KAMA HAVIWAONDOLEI WATU NJAA NI BURE
 
Haya matusi yako ni ya kishamba ni matusi hutumiwa na vilaza majuha Fulani wavuta unga Bangi, mtu mwelewa hawezi kuandika matusi ya kijinga jinga kama yako , tulia ulee mimba ya Le mutuz lakini ukumbuke kupima HIV mapema, Miaka 58 hakuna maendeleo ingawa nyerere kidogo alijenga viwanda na nyumba za Serikali lakini vyote mmeuza na pesa mkagawana na sasa pesa za walipa kodi ambao siyo CCM mnazitumia vibaya kununua Ndege kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge kisha kujidai ni maendeleo hayo.
kwani chato hakuna watu? angalia miji inavyopendeza sasa hivi tangu jpm aingie madarakani mtakoma wanaufipa inawashinda hata kujenga ofisi tu ya makao makuu yaani wenzio wanakula hela ya chama wewe unapiga kelele mitandaoni
 
SHIBE KWANZA NDIO MAENDELEO YA KWELI UKISOMESHA WATU NO KATU HUWEZI PENDWA WAMEPIMA WATAANGUKIA PUA KUEPUSHA AIBU WAKALETA UCHAFUZI SERIKALI ZA MITAA HOFU YA NINI HALI WANAMILIKI KILA KITU.
 
Sky umetumwa wewe sio bure

Aogope uchaguzi yeye kagombea wapi

ongea hayo uchaguzi wa mwakani

saivi umetumwa warrrrrraaaaahi vile
 
Walikuwepo akina chiluba, Abacha, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, Hitler, Iddy Amin Dada alikuwa na msaidizi wake aliitwa maliyamungu ambaye alikuwa na Roho mbaya kama ya Bashite wapo wapi sasa? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa.
Daaah yule jamaa wa kuitwa Maliyamungu nilielezwa historia yake na mzee mmoja wa Kiganda sikuamini nachokisikia.
Mzee alinambia ilikuwa bora uingie kwenye 18za Iddy Amin unaweza toka mzima bila hata mikwaruzo lakini ole wako uingie anga za Maliyamungu hahahaa hiyo ndo nitoleee mazima.
 
At least libya hawakukandamizwa, nyumba zilikiwa bei rahisi,elimu ya chuo bure,matibabu bei rahisi karibia na bure.

Libya was a flat out dictatorship.

Magufuli always raves about Gaddafi's Libya.

We don't want his Libyan model.

Nothing elucidated the conventional wisdom of the Tanzanian people better than Jakaya Kikwete's proclamation on development and freedom: ni bora mbwa wa Manzese mwenye uhuru wa kuzurura na kula vya kuokota kuliko mbwa wa Oysterbay wa kulishwa na kufungiwa kwenye banda la mbwa maisha.

DOWN WITH GADDAFI'S MODEL OF DEVELOPMENT AND REPRESSION
 
kwani chato hakuna watu? angalia miji inavyopendeza sasa hivi tangu jpm aingie madarakani mtakoma wanaufipa inawashinda hata kujenga ofisi tu ya makao makuu yaani wenzio wanakula hela ya chama wewe unapiga kelele mitandaoni
Ofisi ya nini? Upinzani upo Rohoni , hayo majengo ya CCM siyo mali yao yalikuwa majengo ya umma ilipaswa mwaka 1991 baada ya mfumo wa vyama vingi yagawie kwa vyama vyote vya upinzani, CCM msijivunie majengo ambayo mliyapora kienyeji kwa ubabe tu, ruzuku ya CCM inapigwa na wajanja wachache wewe upo busy kupiga kelele mitandaoni.
 
Daaah yule jamaa wa kuitwa Maliyamungu nilielezwa historia yake na mzee mmoja wa Kiganda sikuamini nachokisikia.
Mzee alinambia ilikuwa bora uingie kwenye 18za Iddy Amin unaweza toka mzima bila hata mikwaruzo lakini ole wako uingie anga za Maliyamungu hahahaa hiyo ndo nitoleee mazima.
Maliyamungu ana ukoo wake Tanzania mjukuu wake anaitwa Daud Bashite
 
Afanye yote anayofanya watu hawamuelewi, watu wanataka pesa mtaani mzunguko uwe mzuri wapate mahitaji yao ya msingi chakula, mavazi na malazi bora na mahitaji yao mengine muhimu kwa binadamu, zaidi ya hapo hakuna anayemuelewa.
Ukijumlsiha na kikundi chake cha kigaidi cha wasiojulikana ndio kabisa watanzania wanazidi kumchoka.
 
Back
Top Bottom