wajinga ndiyo waliwao mmojawapo wewe endelea kupiga kelele kama mbwa mdomo juuuuuuuuOfisi ya nini? Upinzani upo Rohoni , hayo majengo ya CCM siyo mali yao yalikuwa majengo ya umma ilipaswa mwaka 1991 baada ya mfumo wa vyama vingi yagawie kwa vyama vyote vya upinzani, CCM msijivunie majengo ambayo mliyapora kienyeji kwa ubabe tu, ruzuku ya CCM inapigwa na wajanja wachache wewe upo busy kupiga kelele mitandaoni.
Wewe mwenyewe unapiga kelele kila siku pesa inatumwa humu 0713802226 Joseph Yona ndipo pesa zote za magendo za CCM hupenyezewa mtaani kusumbua watu mitandaoni kote mpaka Whatsapp.wajinga ndiyo waliwao mmojawapo wewe endelea kupiga kelele kama mbwa mdomo juuuuuuuu
Unawadharau mpaka wananchi wanaowachagua, mmejipa haki Maliki ya Tanzania hata Maalim akishinda Zanzibar mnanyonga ushindi.ni ukosefu wa uzalendo tu ndiyo unaweza kufikiriakuwa anaogopa uchaguzi kwanza wapi alipoonyesha anaogopa uchaguzi wakati imchakato unaendelea uliona amesema uchaguzi hakuna? huo ni ulimbukeni msidanganywe na huyo dj kuwa ndiyo anaiweza nchi hii never
Nimecheka lakini hii ni hoja ya nguvu kabisa. Nimepitia posts karibia zote sijaona mtu aliyetoa jibu sahihi kwa upande wa ccm. Obvious upinzani wanadai ni uoga kwamba atashindwa uchaguzi.Unajenga Reli ya Kisasa/SGR
Unajenga Flyovers/Ubungo
Unanunua ndege kibao
Unajenga Barabara Njia 8
Unatoa Elimu bure
Unajenga Hostel UDSM
Unajenga Daraja Baharini!
Unajenga Ukuta Mererani
Unasema umefuta UFISADI
Unasema CHADEMA imekufa!
Unazuia Mikutano ya Hadhara 4 Years
Unasema Unapendwa na Wananchi
Inakuwaje uogope Uchaguzi mpaka utumie Ma-WEO, Ma-VEO, na Polisi wakati wewe umeleta maendeleo? #ChangeTanzania
Share zaidi
Hata Libya Gadafi aliwapa kila kitu isipokuwa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Kilichotokea Libya imekuwa historia.
CCM Mpya hawajua kuwa binadamu hata umuhonge mabarabara, ndege n.k lakini usipoheshimu uhuru na utu wake unajisumbua. Wajiulize raia weusi Afrika ya Kusini ilikuwa mbele kimaendeleo lakini walikataa kunyanyaswa, kupuuzwa na kufanywa raia namba mbili na kuamua kuamka kupigania haki ya utu wao. Tanzania pia inaweza kutokea jambo hilo maana siyo kisiwa alisema Mwalimu Nyerere