Rais umewasikiliza wanaotaka katiba mpya! Je, sisi tusiotaka katiba mpya utatusikiliza lini? Tuna hoja!

Ujachelewa sema unasikilizwa hata hao unaona kama wamesikilizwa walianza kuzungumzia huku huku mtandaoni kwanza
 
Asalaam ndugu zangu ..nianze Kumpongeza rais kwa kusikiliza hoja za watu wa kada mbalimbali hasa wa mlengo wa kisiasa wakidai katiba mpya.

Wamesikilizwa na ninasikia mchakato karibia utaanza ni jambo jema ... Lakini tupo sisi ambao hatukubaliani na mchakato huo .. hatuhitaji katiba mpya na tuna hoja na sababu za msingi ..nchi yetu imekuwa na amani kwa miaka zaidi ya 50 kwa katiba hii.... nchi yetu imekuwa na uchumi unaokuwa vizuri kwa katiba hii...

Kwa sisi tusiotaka katiba utatusikiliza lini? Na sisi tuna haki ya kusikilizwa kama ulivyowasikiliza hao wanaotaka katiba mpya!! Mimi na wenzangu wengi TU tusiotaka katiba mpya tutasikilizwa lini? Hatutaki kabisa katiba mpya!! Tumeona nchi jirani zilizokimbilia katiba mpya kwa minajiri ya ustawi kisiasa na maisha ya watu wetu lakini imekuwa kinyume chake!

Kenya vurugu tupu! Afrika kusini vurugu tupu!! Nchi zote zilizothubutu kubadilisha katiba ziliingia kwenye migogoro isiyoisha .. please rais hakuna legacy yoyote utakayoiacha kwa kuleta katiba mpya zaidi ya fujo na vurugu...

Asanteni

Pia soma: Serikali: Mchakato wa Katiba Mpya na maboresho ya Sheria ya vyama vya Siasa na Uchaguzi, sasa kuanza

Ahsante ndugu mwandishi mwenye mwandiko kama wa P.
Nyinyi msiokubaliana na mchakakato wa Katiba mpya pia mtasikilizwa.
Mtapewa fursa ya kusema NDIO au HAPANA kwenye KURA YA MAONI.
 
Asalaam ndugu zangu ..nianze Kumpongeza rais kwa kusikiliza hoja za watu wa kada mbalimbali hasa wa mlengo wa kisiasa wakidai katiba mpya.

Wamesikilizwa na ninasikia mchakato karibia utaanza ni jambo jema ... Lakini tupo sisi ambao hatukubaliani na mchakato huo .. hatuhitaji katiba mpya na tuna hoja na sababu za msingi ..nchi yetu imekuwa na amani kwa miaka zaidi ya 50 kwa katiba hii.... nchi yetu imekuwa na uchumi unaokuwa vizuri kwa katiba hii...

Kwa sisi tusiotaka katiba utatusikiliza lini? Na sisi tuna haki ya kusikilizwa kama ulivyowasikiliza hao wanaotaka katiba mpya!! Mimi na wenzangu wengi TU tusiotaka katiba mpya tutasikilizwa lini? Hatutaki kabisa katiba mpya!! Tumeona nchi jirani zilizokimbilia katiba mpya kwa minajiri ya ustawi kisiasa na maisha ya watu wetu lakini imekuwa kinyume chake!

Kenya vurugu tupu! Afrika kusini vurugu tupu!! Nchi zote zilizothubutu kubadilisha katiba ziliingia kwenye migogoro isiyoisha .. please rais hakuna legacy yoyote utakayoiacha kwa kuleta katiba mpya zaidi ya fujo na vurugu...

Asanteni

Pia soma: Serikali: Mchakato wa Katiba Mpya na maboresho ya Sheria ya vyama vya Siasa na Uchaguzi, sasa kuanza
Sisi! Wewe na Nani?!
Ujinga mtupu.
 
Watakushangaa sana wenzako maana walishasema katiba mpya sio hitaji la watanzania maana haitawashibisha lakini sasa wanasema katiba mpya ni muhim.
 
Back
Top Bottom