Rais umewasikiliza wanaotaka katiba mpya! Je, sisi tusiotaka katiba mpya utatusikiliza lini? Tuna hoja!

Ujachelewa sema unasikilizwa hata hao unaona kama wamesikilizwa walianza kuzungumzia huku huku mtandaoni kwanza
 

Ahsante ndugu mwandishi mwenye mwandiko kama wa P.
Nyinyi msiokubaliana na mchakakato wa Katiba mpya pia mtasikilizwa.
Mtapewa fursa ya kusema NDIO au HAPANA kwenye KURA YA MAONI.
 
Sisi! Wewe na Nani?!
Ujinga mtupu.
 
Watakushangaa sana wenzako maana walishasema katiba mpya sio hitaji la watanzania maana haitawashibisha lakini sasa wanasema katiba mpya ni muhim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…