Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Naomba kumshauri Mhe. Rais aache utamaduni wakujiwekea ratiba ya kutembelea majibo kuwashukuru Wananchi maana muda ni mchache na Miradi ni mingi.
Akitulia jikoni akapika sisi huku tungependa kumwona akipakua ( akizindua Miradi) msosi ambao umekwiva na wenye tija.
Akumbuke anayo deni lakuwaachia Watanzania Katiba Mpya ambayo kwa ufupi itakula mwaka mmoja kukamilika hivyo miaka mitatu yakulipendezesha Taifa ni midogo sana atulie Dodoma wasaidizi wake wazunguke kutekeleza maelekezo. Abaki kufikiri new agenda na Tanzania ya kesho