Rais wa Al Hilal apingwa vikali baada ya kutangaza ofa kwa mashabiki wa Simba kusafirishwa kwenda Sudan

Unavoidable Servant

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2021
Posts
1,728
Reaction score
4,545
Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal.

Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al Hilal, wamepinga vikali pendekezo hilo na kusema hao mashabiki wa Simba hawana mapenzi yoyote na Al Hilal, kinachowasumbua ni uchawi, roho mbaya na kukosa uzalendo tu.

Msinichoshe, nami nisiwachoshe, jionee mwenyewe.
FB_IMG_1665473169758.jpg
Screenshot_2022-10-11-10-22-58-18.png
 
aibu kwa maamuzi ya tajiri?
Mwanaume na akili zako timamu, ulipiwe tiketi na gharama nyingine zote na Mwarabu! ili ukashangilie wageni, na kuizomea timu ya nchi yako ugenini!!

Hii kwangu ni zaidi ya dharau kwa Watanzania. Ifikie wakati Watanzania tujitambue. Hata hao wanaofunga safari kwenda uwanja wa ndege kuwapokea wageni, bila shaka nao wanahitaji kupimwa akili.
 
Mbona watu wanashinda bahati nasibu kwenda kuangalia mechi tatu za Kombe la Dunia huko QATAR, na wanalipiwa kila kitu?
 
Mashabiki wa Yanga waliokuwa wakiwapokea timu zinazocheza dhidi ya Simba na kuwashangilia hawakuwahi kupata ofa kama hii kama kweli ipo wala hawakuwahi kulalamika kama leo wanavyolalamika humu kwa simba kupata ofa hii

Kama boss katoa ofa wacha waende
 
Mwanaume na akili zako timamu, ulipiwe tiketi na gharama nyingine zote na Mwarabu! ili ukashangilie wageni, na kuizomea timu ya nchi yako ugenini!!

Hii kwangu ni zaidi ya dharau kwa Watanzania. Ifikie wakati Watanzania tujitambue. Hata hao wanaofunga safari kwenda uwanja wa ndege kuwapokea wageni, bila shaka nao wanahitaji kupimwa akili.
Tajiri hajataka mashabiki wa Simba Sc wasafirishwe, alifurahishwa na uwepo wa shabiki wa Simba Sc uwanjani ambae wakati Hilal wamefunga goli camera zilimnasa akishangilia.

Tajiri wa team hiyo (asiyeuza magodoro) akaomba ufanyike utaratibu wa kukutana na shabiki huyo ikiwa ni pamoja na kumpa ofa ya kushuhudia game ya marudio kati ya Utopolo na Hilal.

Nyinyi mmepotosha ili kupata chaka la kujifurahisha.
 
Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal.

Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al Hilal, wamepinga vikali pendekezo hilo na kusema hao mashabiki wa Simba hawana mapenzi yoyote na Al Hilal, kinachowasumbua ni uchawi, roho mbaya na kukosa uzalendo tu.

Msinichoshe, nami nisiwachoshe, jionee mwenyewe.
View attachment 2383295View attachment 2383296

Nyie Deportivo la Utopolo mlipokuwa mnakwenda Airport kupokea wageni na kuvaa jezi zao pamoja na kuwashangilia wageni kwa nguvu zote mlikuwa na Uzalendo?
 
Back
Top Bottom