Rais wa Al Hilal apingwa vikali baada ya kutangaza ofa kwa mashabiki wa Simba kusafirishwa kwenda Sudan

Rais wa Al Hilal apingwa vikali baada ya kutangaza ofa kwa mashabiki wa Simba kusafirishwa kwenda Sudan

Huu mchezo mliuanza wenyewe,, msione wivu, tena mlifanya figisu hizi mkijua kabisa kuww juhudi za Simba zitawafanya mshiriki klabu bingwa Afrika,,
Aanzae mmalize
Mkuki Kwa nguruwe.....
Kunya anye kuku akinya Bata,,,

Mwiko nyuma inawawasha komeni
 
Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal.

Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al Hilal, wamepinga vikali pendekezo hilo na kusema hao mashabiki wa Simba hawana mapenzi yoyote na Al Hilal, kinachowasumbua ni uchawi, roho mbaya na kukosa uzalendo tu.

Msinichoshe, nami nisiwachoshe, jionee mwenyewe.
View attachment 2383295View attachment 2383296
Hao al hilal siku zote wana chuki kibwa sana na simba kwasababu simba alishawafanya vibaya sana toka miaka ya nyuma.
 
Huu mchezo mliuanza wenyewe,, msione wivu, tena mlifanya figisu hizi mkijua kabisa kuww juhudi za Simba zitawafanya mshiriki klabu bingwa Afrika,,
Aanzae mmalize
Mkuki Kwa nguruwe.....
Kunya anye kuku akinya Bata,,,

Mwiko nyuma inawawasha komeni
Yanga inashiriki klabu bingwa Africa kwakuwa ndio mabingwa wa nchi na siyo kwa juhudi za Simba, rekebisha hili kwanza kuepuka upotoshaji wa makusudi.
 
Attachments

  • IMG-20221011-WA0019.jpg
    IMG-20221011-WA0019.jpg
    65.1 KB · Views: 5
Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal.

Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al Hilal, wamepinga vikali pendekezo hilo na kusema hao mashabiki wa Simba hawana mapenzi yoyote na Al Hilal, kinachowasumbua ni uchawi, roho mbaya na kukosa uzalendo tu.

Msinichoshe, nami nisiwachoshe, jionee mwenyewe.
View attachment 2383295View attachment 2383296
Weka uzi wa rais basi tuukague
 
Usisahau kwenda kumuaga Mwenyekiti wako wa zamani wa timu yako Mh.Ismail Aden Rage ili akupe baraka zake.
Mkuu unateseka sana, pole, tangu ile siku mnabanwa pale taifa nakumbuka ulikimbia wenzako hapa jukwaani ukakosa uzalendo kwa timu yako ambayo hapa unajidai kuitetea, wewe ni askari muoga.
 
Yanga inashiriki klabu bingwa Africa kwakuwa ndio mabingwa wa nchi na siyo kwa juhudi za Simba, rekebisha hili kwanza kuepuka upotoshaji wa makusudi.
Hawa mashabiki wa simba sijui wana shida gani! Imagine Yanga ni bingwa wa ligi kuu, na pia kombe la shirikisho la Azam!

Hivi katika akili ya kawaida tu, inahitaji juhudi zipi kutoka simba ili ishiriki mashindano ya kimataifa?
 
Huu mchezo mliuanza wenyewe,, msione wivu, tena mlifanya figisu hizi mkijua kabisa kuww juhudi za Simba zitawafanya mshiriki klabu bingwa Afrika,,
Aanzae mmalize
Mkuki Kwa nguruwe.....
Kunya anye kuku akinya Bata,,,

Mwiko nyuma inawawasha komeni
Bibiye mpira wa miguu una ufahamu nao kweli! Au ndiyo upo kwenye hatua ya awali kabisa za kujifunza kuufahamu? Simba ina juhudi zipi hizo za kuiwezesha Yanga kushiriki Klabu Bingwa Afrika?

Yaani kwa taarifa yako! kwenye msimu uliopita, Yanga ilikuwa na sifa ya kushiriki mashindano yote ya kimataifa iwapo kanuni zingekuwa zinamruhusu.

Maana yeye ndiye bingwa wa ligi kuu, lakini pia ni bingwa wa kombe la shirikisho la Azam! Huku hiyo simba yako ikiwa ni bingwa wa kombe la bonanza la Mapinduzi kule Zanzibar.
 
Wao ata wakibeba mashabiki wote wa simba nchi nzima kama imeandikwa wanaondoshwa kwenye michuano wataondoka tu watake wasitake, Na wasiishie hapo wawalipie na viongozi wa simba wakawape sapoti uko lakini mbungi itapigwa mpaka watashangaa nyie tulieni, Mpaka hapo wanazidi kuchochea morali ya jeshi la wananchi bila wao kujielewa patachimbika
Iandikwe wapi mkuu ? Yaani uache kujiandaa kushindana usubiri ya imeandikwa kweli mkuu?
 
Waache wivu mwanatu kapata shavu kwanini wasivunge tuu???
 
Hawa mashabiki wa simba sijui wana shida gani! Imagine Yanga ni bingwa wa ligi kuu, na pia kombe la shirikisho la Azam!

Hivi katika akili ya kawaida tu, inahitaji juhudi zipi kutoka simba ili ishiriki mashindano ya kimataifa?
Mnaliaibisha sana taifa nyie ziro point faivu
 
Back
Top Bottom