Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal.
Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al Hilal, wamepinga vikali pendekezo hilo na kusema hao mashabiki wa Simba hawana mapenzi yoyote na Al Hilal, kinachowasumbua ni uchawi, roho mbaya na kukosa uzalendo tu.
Msinichoshe, nami nisiwachoshe, jionee mwenyewe.
View attachment 2383295View attachment 2383296