Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Rais wa Al hilal anapigwa spana za uhakika, Wasudan hawataki chawa wa Msimbazi, wala hawana haja na mahaba feki. Aibu.Aibu naona mimi eti!
Na yalivyo mambumbumbu, hivi yanaweza kwenda eti!!Rais wa Al hilal anapigwa spana za uhakika, Wasudan hawataki chawa wa Msimbazi, wala hawana haja na mahaba feki. Aibu.
Mashabiki wa Al hilal wanapinga vikali kwamba proposal hiyo ni kuwaprovoke Yanga na kutafanya mechi iwe ngumu zaidi kwa Yanga kutaka kuwaonesha kwamba wao ni nani na Al hilal inaweza kutupwa nje ya mashindano.Na yalivyo mambumbumbu, hivi yanaweza kwenda eti!!
Usisahau kwenda kumuaga Mwenyekiti wako wa zamani wa timu yako Mh.Ismail Aden Rage ili akupe baraka zake.Mm ticket nimeshapewa tukutane Sudan [emoji196][emoji196][emoji196]
aibu kwa maamuzi ya tajiri?Aibu naona mimi eti!
Mwanaume na akili zako timamu, ulipiwe tiketi na gharama nyingine zote na Mwarabu! ili ukashangilie wageni, na kuizomea timu ya nchi yako ugenini!!aibu kwa maamuzi ya tajiri?
Mbona watu wanashinda bahati nasibu kwenda kuangalia mechi tatu za Kombe la Dunia huko QATAR, na wanalipiwa kila kitu?Mwanaume na akili zako timamu, ulipiwe tiketi na gharama nyingine zote na Mwarabu! ili ukashangilie wageni, na kuizomea timu ya nchi yako ugenini!!
Hii kwangu ni zaidi ya dharau kwa Watanzania. Ifikie wakati Watanzania tujitambue. Hata hao wanaofunga safari kwenda uwanja wa ndege kuwapokea wageni, bila shaka nao wanahitaji kupimwa akili.
Tajiri hajataka mashabiki wa Simba Sc wasafirishwe, alifurahishwa na uwepo wa shabiki wa Simba Sc uwanjani ambae wakati Hilal wamefunga goli camera zilimnasa akishangilia.Mwanaume na akili zako timamu, ulipiwe tiketi na gharama nyingine zote na Mwarabu! ili ukashangilie wageni, na kuizomea timu ya nchi yako ugenini!!
Hii kwangu ni zaidi ya dharau kwa Watanzania. Ifikie wakati Watanzania tujitambue. Hata hao wanaofunga safari kwenda uwanja wa ndege kuwapokea wageni, bila shaka nao wanahitaji kupimwa akili.
Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal.
Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al Hilal, wamepinga vikali pendekezo hilo na kusema hao mashabiki wa Simba hawana mapenzi yoyote na Al Hilal, kinachowasumbua ni uchawi, roho mbaya na kukosa uzalendo tu.
Msinichoshe, nami nisiwachoshe, jionee mwenyewe.
View attachment 2383295View attachment 2383296