Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi afikisha miaka 95. Heri ya kuzaliwa Mzee Ruksa!

Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi afikisha miaka 95. Heri ya kuzaliwa Mzee Ruksa!

Kofi alipigwa kwenye Baraza la Maulid mara baada ya kuwataka Waislamu kujikinga na maambukizi ya Ukimwi kwa kutumia kondomu.

Jamaa ndio huyo kwenye picha.
mwinyi_kofi.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera zake Mzee "Ruksa", alitutoa kwenye hali mbaya sana baada ya vita ya Kagera!! Mwenyezi Mungu azidi kumpa afia njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh Mzee kapiga dakika zote 90 na nyongeza yupo dakika 5 Mungu azidi kumpigania
 
Ukisikia kula chumvi nyingi ndo huku, yaani unakula hadi chumvi inaisha unaanza kukombeleza.
Live long babu mwinyi.
 
Back
Top Bottom