Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Mwinyi aliwahi kuitisha Baraza la Mawaziri na kulivunja mbele yao

Bwashee una kumbukumbu nzuri sana.

cc: Pascal Mayalla na mrangi
 
Mkuu johnthebaptist naona unajaribu kumtisha Mkubwa wa Mawaziri tu, manake boss wa Bunge anauhakika suala hilo yeye halitamuhusu na nafasi yake hakuna wa kuichukua 😀😀🙌
 
Mama anaenda kuwa mwenyekiti wa CCM..... Usisahau hilo bwashee!
Of course boss wa Nchi atakabidhiwa mikoba ya Chama, Ila Boss wa bunge anauhakika wa nafasi yake isipokuwa boss wa mawaziri tu. Ndiyo maana ametishwa juzi kwa mipango yao chini chini
 
Mama kuwa mwenyekiti wa chama sio dalili njema kwa boss wa bunge. Suruali inaweza kuanza kutoboka kwa nyuma kabla hajaona kwa mbele.
Of course boss wa Nchi atakabidhiwa mikoba ya Chama, Ila Boss wa bunge anauhakika wa nafasi yake isipokuwa boss wa mawaziri tu. Ndiyo maana ametishwa juzi kwa mipango yao chini chini
 
YAni Mwinyi ameifanyia Hii nchi mambo meengiii. Ni vile mpole tu lakini Mwinyi alitusaidia sana
 
Mama kuwa mwenyekiti wa chama sio dalili njema kwa boss wa bunge. Suruali inaweza kuanza kutoboka kwa nyuma kabla hajaona kwa mbele.
Inawezekanaje boss wa bunge awe na hofu wakati anapigiwa kura na bunge? Nilidhani ambaye anaweza kuwa na hofu ni boss wa Mawaziri kwa kuwa jina lazima litoke kwa boss wa Nchi

By the way kila la kheri Mama kwenye kupewa mikoba ya Chama
 
Unajua jina la Spika linatokaga wapi?
 
Umesahau moja; Television( Tuliita video) nazo zikaruhusiwa kuingia nchini maana kabla, wengi walikuwa wanazisikia tu kwenye stori za vijiweni.
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…