Rais wa Botswana, Duma Boko: Unapoingia madarakani inaweza kukuchanganya na kukufanya ujione kama nusu-mungu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Botswana, Duma Boko, amezungumzia hatari zinazoweza kuambatana na madaraka ya kisiasa na jinsi kushika wadhifa kunaweza kumbadilisha kiongozi mtazamo wake kuhusu yeye mwenyewe.

Akihojiwa na eNCA’s CheckPoint Podcast, amesema unapoingia madarakan inaweza kukuchanganya sana na kukufanya ujione kama nusu-mungu, na viongozi wengi hutumbukia kwenye mtego huo. Amesema kuwa viongozi wanaoingia madarakani wakiahidi kuwa tofauti na waliowatangulia wanaweza baadaye kujikuta wakitekwa na hadhi, mamlaka na heshima zinazotokana na nafasi hiyo.

"When you get into power and you've been outside, it can actually drive you crazy. It can make you think you're a demigod, and most leaders fall into that trap. One needs to stay grounded. One needs to accept and appreciate it's a job. 'I've come here to do a job, and I'll do this job for whatever period of time, and get out.'

Amebainisha kuwa uongozi unapaswa kuchukuliwa kama kazi ya muda, si utambulisho wa kudumu wa mtu, na kwamba kiongozi unapaswa kubaki umetulia na kuwa mnyenyekevu. Kwa mtazamo wake, uongozi wa kweli unahitaji nidhamu na unyenyekevu wa kutambua kuwa wakati wa kuachia madaraka unapofika, kiongozi anapaswa kuwa tayari kuondoka.

Akizungumza kutokana na uzoefu wake kama mwanasheria, Rais Boko amesema kuwa nafasi ya Urais haijengi wala kuamua thamani yake kama mtu. Anaamini mtazamo huo ni muhimu ili kiongozi abaki akilenga kuwatumikia wananchi badala ya uchu wa madaraka.
​
Aidha, Rais Boko amefafanu ukweli wa mambo yalivyo unaporithi mfumo wa serikali uliodumu kwa muda mrefu, kwamba kujenga upya vyombo vya dola kunahitaji kufanya kazi ndani ya mfumo uliorithiwa, uliojaa watu waliowekwa kwa misingi ya kisiasa badala ya vigezo, pamoja na watumishi wa umma waliozoea maono tofauti kabisa ya serikali iliyopita.

Akikiri kuwa hali hii inaleta ukosefu wa uvumilivu miongoni mwa wafuasi wake, hasa ambapo mabadiliko ya taratibu yanachelewesha utekelezaji wa sera na mara nyingi yanahatarisha kuwakatisha tamaa wapiga kura wanaotarajia mabadiliko ya haraka.

"More critically, when you come in and you take over from a party that has been in power for that long, or any length of time for that matter, you inherit a whole apparatus of state, configured in a particular way, populated in a certain manner. And you now must operate on these inherited dependencies. You have a civil service that you did not appoint, that was pursuing a totally different vision from what you are bringing.
And some of whom were not really appointed on merit, it was cadre deployment. And now when you come in, you are confronted with this reality."

Huyu rais amepiga kwenye mshono kabisa, shida za watawala hasa wa kiafrika ni hiyo, wakishatwaa madaraka tu basi tayari wanavamiwa na mapepo ambayo ndiyo yanawaongoza.

Huo mfano tunauona vizuri sana hata hapa Tanzania.
 
Nusu Mungu au Mungu kabisa, ukiwa Rais hata Mungu mwenyewe hakupingi kwenye jambo lako
 
More critically, when you come in and you take over from a party that has been in power for that long, or any length of time for that matter, you inherit a whole apparatus of state, configured in a particular way, populated in a certain manner. And you now must operate on these inherited dependencies. You have a civil service that you did not appoint, that was pursuing a totally different vision from what you are bringing.
And some of whom were not really appointed on merit, it was cadre deployment. And now when you come in, you are confronted with this reality."
 
Rais wa Botswana, Duma Boko, amezungumzia hatari zinazoweza kuambatana na madaraka ya kisiasa na jinsi kushika wadhifa kunaweza kumbadilisha kiongozi mtazamo wake kuhusu yeye mwenyewe.

Akihojiwa na eNCA’s CheckPoint Podcast, amesema unapoingia madarakan inaweza kukuchanganya sana na kukufanya ujione kama nusu-mungu, na viongozi wengi hutumbukia kwenye mtego huo. Amesema kuwa viongozi wanaoingia madarakani wakiahidi kuwa tofauti na waliowatangulia wanaweza baadaye kujikuta wakitekwa na hadhi, mamlaka na heshima zinazotokana na nafasi hiyo.

"When you get into power and you've been outside, it can actually drive you crazy. It can make you think you're a demigod, and most leaders fall into that trap. One needs to stay grounded. One needs to accept and appreciate it's a job. 'I've come here to do a job, and I'll do this job for whatever period of time, and get out.'

Amebainisha kuwa uongozi unapaswa kuchukuliwa kama kazi ya muda, si utambulisho wa kudumu wa mtu, na kwamba kiongozi unapaswa kubaki umetulia na kuwa mnyenyekevu. Kwa mtazamo wake, uongozi wa kweli unahitaji nidhamu na unyenyekevu wa kutambua kuwa wakati wa kuachia madaraka unapofika, kiongozi anapaswa kuwa tayari kuondoka.

Akizungumza kutokana na uzoefu wake kama mwanasheria, Rais Boko amesema kuwa nafasi ya Urais haijengi wala kuamua thamani yake kama mtu. Anaamini mtazamo huo ni muhimu ili kiongozi abaki akilenga kuwatumikia wananchi badala ya uchu wa madaraka.
​
Aidha, Rais Boko amefafanu ukweli wa mambo yalivyo unaporithi mfumo wa serikali uliodumu kwa muda mrefu, kwamba kujenga upya vyombo vya dola kunahitaji kufanya kazi ndani ya mfumo uliorithiwa, uliojaa watu waliowekwa kwa misingi ya kisiasa badala ya vigezo, pamoja na watumishi wa umma waliozoea maono tofauti kabisa ya serikali iliyopita.

Akikiri kuwa hali hii inaleta ukosefu wa uvumilivu miongoni mwa wafuasi wake, hasa ambapo mabadiliko ya taratibu yanachelewesha utekelezaji wa sera na mara nyingi yanahatarisha kuwakatisha tamaa wapiga kura wanaotarajia mabadiliko ya haraka.

"More critically, when you come in and you take over from a party that has been in power for that long, or any length of time for that matter, you inherit a whole apparatus of state, configured in a particular way, populated in a certain manner. And you now must operate on these inherited dependencies. You have a civil service that you did not appoint, that was pursuing a totally different vision from what you are bringing.
And some of whom were not really appointed on merit, it was cadre deployment. And now when you come in, you are confronted with this reality."

Hata Samuya siku hz anajiona kama Mungu mtu.
 
Huyu rais amepiga kwenye mshono kabisa, shida za watawala hasa wa kiafrika ni hiyo, wakishatwaa madaraka tu basi tayari wanavamiwa na mapepo ambayo ndiyo yanawaongoza.

Huo mfano tunauona vizuri sana hata hapa Tanzania.
Kinachofanya hivyo ni katika ambazo zinatoa power kunwa sana kwa rais aliyepo madarakani
 
Kuna mama huko tanzagiza anajiona ndo Mungu mwenyewe wa mbinguni

Screenshot_20260904-184824.jpg
 
Back
Top Bottom