hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Amesahau tu kumtaja jina 😄Kamsena kabisa mama wa hapa.
Amesahau tu kumtaja jina 😄Kamsena kabisa mama wa hapa.
Siasa safi sera Bora , vikikosekana hivyo kwenye Nchi yoyote ile ni zaidi ya uchawiKwa nini inakua hivyo mkuu nikijiuliza sipati majibu watu wamenyooka balaa.
Yule ni tabia yake ya asili.Donald Trump katoka familia ya kitajiri.
Hakika. Nimefika jamaa wako tofauti sana sisi kenge zingine za Sub SaharaYaani Botswana ndio nchi yenye watu weusi wenye akili
he is a devout Christian.
beautiful people, Mungu ibariki Botswana na watu wake ...
View: https://www.youtube.com/watch?v=NbavtvaMV5I&t=19s
Ruto je?
Yaani Botswana ndio nchi yenye watu weusi wenye akili