Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Sijaona kwenye chanzo chochote ila wayahudi hiki wanakiweza sanaaaa mengineformer
Israel anasumbuka sana kuhongo kutumia majasusi ili apate tu sifa kuwa kiongozi flan kamua,i lakini yeye anauwa mmoja na yeye anauliwa 100 hahaha afu anakuambia wameumia wawili tu ๐๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐ทโก๏ธ The IAF has eliminated someone important in the heart of Tehran.
Rumours say it was Mohammad Bagher Ghalibaf, the president of the Iranian parliament.
We will find out soon enough but here is his obituary in advance.
Mohammad Bagher Ghalibaf is/was an Iranian politician and former military officer serving as speaker of the Parliament of Iran since 2020. A Principlist and highly controversial figure, he was previously a member of the Expediency Discernment Council from 2017 to 2020, and was also mayor of Tehran from 2005 to 2017. Ghalibaf was formerly Iran's chief of Police Command of the Islamic Republic of Iran from 2000 to 2005 and commander of the Aerospace Force of the Islamic Revolutionary Guard Corps from 1997 to 2000.
In the 2020 Iranian legislative election, the conservative Principlists regained the majority in the legislature and Ghalibaf was elected as the new Speaker of Iran Parliament.
Today Ghalibaf and his family are the owners of multiple luxury apartments in Istanbul.
During the 2025โ2026 Iranian protests, he called for punishment against protestors whom he described as enemies and terrorists. Israel News
Wala hakuna intelijensia inahusika, Mossad na CIA source kubwa ya intel ni KUNUNUA taarifa sio human intelligence. Mfano khamenei tu kawekewa bounty ya USD 10 Million yaani zaid ya TZS 20 BIllion atakayetoa taarifa za alipo!! Sasa hapo hakuna mke, mtoto, shemeji, mjomba, bodyguard au mpinzani wake anayeweza kumuuza?Mabomu pekee hayatoshi kulinda viongozi
Nchi zenye nguvu ya kijeshi, zinawekeza sana kwenye interejensia, mavyuma vyuma ni nafasi ya pili
Iran ina mavyuma vyuma kuliko Israel na ukanda mzima wa middle na hata nchi baadhi za Ulaya
Ila interagency ni 000O kabisa yaani
Viongozi wote wa Iran wapo kwenye hatari ya kukabiriwa na kifo muda wowote
Hata akiuwa 1000 bado kisasi haijafikiwa sisi tunataka Netanyahu afe hapo ndo tutawaelewa ๐คฃ๐คฃIsrael anasumbuka sana kuhongo kutumia majasusi ili apate tu sifa kuwa kiongozi flan kamua,i lakini yeye anauwa mmoja na yeye anauliwa 100 hahaha afu anakuambia wameumia wawili tu ๐
Sio kweli, wamedanganya mengi tu walisema Iran inatengeneza bomu la nyuklia na tumeona juzi taarifa za CIA na Mossad zinasema Iran haikuwahi kuwa karibu au kuwa na mpango wa kutengeneza nuclear.Inawezekana hufuatilii uhalisia.
Israel haifichi vifo hata siku moja, tena wanataja mpaka majina ya waliokufa. Hata jana kuna mwanajeshi wao ameuawa Lebanon wamemtaja jina lake, umri wake, mpaka jina la baba yake.
Kwa Israel, serikali kuwadanganya wananchi wake ni hatia kubwa sana, labda wadanganye huko nje ya nchi, lakini siyo kuwaficha watu wake juu ya waliouawa.
Hizo ngonjera waambie jirani zako east afrika. Mnaambiwa kila siku wekeza kwenye uchumi mnawekeza kuinonesha CCM.Wala hakuna intelijensia inahusika, Mossad na CIA source kubwa ya intel ni KUNUNUA taarifa sio human intelligence. Mfano khamenei tu kawekewa bounty ya USD 10 Million yaani zaid ya TZS 20 BIllion atakayetoa taarifa za alipo!! Sasa hapo hakuna mke, mtoto, shemeji, mjomba, bodyguard au mpinzani wake anayeweza kumuuza?
Lakini pia unapofanya analysis kuwa pragmatic, kwa mfano Israel imeshatupa mabomu zaidi ya 15,000 na yote yakilenga strategic points hasa viongoz wa IRGC sasa kama imeua viongozi 20+ kwa attempts hizo unawapaje credit ya ujasusi?
Rais Masoud Pezeshkian pekee tu alishalengwa zaidi ya mara 5 kufa ila walikosea location yake multiple times ila yupo hai mpaka sasa ila akifa kesho utasikia intelijensia ya Israel ni kiboko bila kupima effort vs results!!
Iran inapigana na nchi ambazo bajeti zao za ulinzi tu zinazidi bajeti nzima ya serikali ya Iran na pengine hata pato zima la taifa!! Ni sawa na David and Goliath so ku survive mpaka sasa tu ni muujiza.
Haya tuseme waongo. Wakikwambia Idadi ya vifo wewe wa Nanjilinji utafaidika navyo nini? Kama state bado inaoperate kama kawaida haina haja ya kutangaza huto tuvifo maana hata wakikutangazia hutawasaidia kuwafufuliaSio kweli, wamedanganya mengi tu walisema Iran inatengeneza bomu la nyuklia na tumeona juzi taarifa za CIA na Mossad zinasema Iran haikuwahi kuwa karibu au kuwa na mpango wa kutengeneza nuclear.
So hao jamaa ni waongo sana, hata wanakataaga kuwa na nuclear ilihali wakiambiwa wakaguliwe na IAEA wanagoma!! Na juzi makombora ya Iran yalipolenga maeneo wanapotunzia hizo silaha huko Dimona kelele zikawa nyingi!!
So wayahudi ni waongo sana kuliko Trump.
Anachojua ni kuongea tuPakistan waliomba Israel imuache kwanza ili mazungumzo ya amani yafanyike sasa kama ni kweli ameuliwa imekuwaje tena!!??๐๐๐
Technology ndio inawamaliza, high precision satellites, high performance drones na artificial intelligence etc vikikutafuta huna pa kujifichaWala hakuna intelijensia inahusika, Mossad na CIA source kubwa ya intel ni KUNUNUA taarifa sio human intelligence. Mfano khamenei tu kawekewa bounty ya USD 10 Million yaani zaid ya TZS 20 BIllion atakayetoa taarifa za alipo!! Sasa hapo hakuna mke, mtoto, shemeji, mjomba, bodyguard au mpinzani wake anayeweza kumuuza?
Lakini pia unapofanya analysis kuwa pragmatic, kwa mfano Israel imeshatupa mabomu zaidi ya 15,000 na yote yakilenga strategic points hasa viongoz wa IRGC sasa kama imeua viongozi 20+ kwa attempts hizo unawapaje credit ya ujasusi?
Rais Masoud Pezeshkian pekee tu alishalengwa zaidi ya mara 5 kufa ila walikosea location yake multiple times ila yupo hai mpaka sasa ila akifa kesho utasikia intelijensia ya Israel ni kiboko bila kupima effort vs results!!
Iran inapigana na nchi ambazo bajeti zao za ulinzi tu zinazidi bajeti nzima ya serikali ya Iran na pengine hata pato zima la taifa!! Ni sawa na David and Goliath so ku survive mpaka sasa tu ni muujiza.
Sasa Hilo dau la USD 10 Million limetolewa kwa ajili gani?Technology ndio inawamaliza, high precision satellites, high performance drones na artificial intelligence etc vikikutafuta huna pa kujificha
Hoja ilikua Human intelligence vs outsourcing intelligence. Na hoja ni kuwa wananunua data sio tu kwa mashirika mengine ya kijasusi ila data centers za private firmsHizo ngonjera waambie jirani zako east afrika. Mnaambiwa kila siku wekeza kwenye uchumi mnawekeza kuinonesha CCM.
Maana ya uchumi ni pamoja na kutumia pesa kumdhoofisha adui yako.
Wewe huoni hata Russia anakodi wanajeshi dunia mzima mpaka Africa? Kwani kashindwa nini kupigana peke yake?
Bajeti ya ulinzi USA haijaconcentrate Iran pekee anaoperate dunia nzima. Anawalinda SK, umoja wa ulaya n.k. na ndiyo maana pamoja na kwamba yupo bize na Irani ila bado tapeli macho madogo anaiangalia Taiwani kama anaaga maiti.
Shia mnasumbuliwa na uongo, haya tupe kisa chochote cha muiran kuua raia 100 wa Israel tucheke na sisiIsrael anasumbuka sana kuhongo kutumia majasusi ili apate tu sifa kuwa kiongozi flan kamua,i lakini yeye anauwa mmoja na yeye anauliwa 100 hahaha afu anakuambia wameumia wawili tu ๐
Muulize lini Iran kaua waisrael 100 baada ya idf kuua kiongozi wa washiaHata akiuwa 1000 bado kisasi haijafikiwa sisi tunataka Netanyahu afe hapo ndo tutawaelewa ๐คฃ๐คฃ
Na nyie si more dollar milion 20Wala hakuna intelijensia inahusika, Mossad na CIA source kubwa ya intel ni KUNUNUA taarifa sio human intelligence. Mfano khamenei tu kawekewa bounty ya USD 10 Million yaani zaid ya TZS 20 BIllion atakayetoa taarifa za alipo!! Sasa hapo hakuna mke, mtoto, shemeji, mjomba, bodyguard au mpinzani wake anayeweza kumuuza?