Rais wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf adaiwa kuuawa na jeshi la Israel

Rais wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf adaiwa kuuawa na jeshi la Israel

Watawamaliza aisee viongozi wote iran wajiandae kisaiklojia
 
Na

Na nyie si more dollar milion 20


Mtafute kichwa cha raisi wa Israel
Iran hawana hela hizo bajeti tu ya ulinzi US na Mossad combined inazidi bajeti nzima ya serikali ya irani.

Vikwazo kwa miaka zaidi ya 45 hauwezi kuwa na capacity ya kutumia kiasi hicho cha pesa ndio maana wanatengeneza missiles na drones kwa bei ndogo!!
 
Shia mnasumbuliwa na uongo, haya tupe kisa chochote cha muiran kuua raia 100 wa Israel tucheke na sisi
Siwao ndio wanalia lazima wamekufa wengi 10,000 wamekimbia au kufa kwenye hi vita. Israel wanaficha sana wambie wawachie media watoe kama kule Iran na Lebanon unambiwa hospital zao zote ziko full vilema na hakuna nafasi sa wengine wanatibiwa kwenye mashule





View: https://youtube.com/shorts/Q8OclsMOpFQ?si=NuDuXT5HkrNT1Xwa


vita vya Hamas walificha 10,000 wanekufa


View: https://youtu.be/PafLClsdRqQ?si=9At-YJL7H7tnsO3R


View: https://youtube.com/shorts/HlUpITvrV-Y?si=UwvjU4C6bJzKgLqb
 
Bado mzima na jana tu katoka kunisania some documents
Mohammad_Bagher_Ghalibaf_signature.svg.png
 
Back
Top Bottom