MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Ujinga gani?mnasifia ujinga mixer kulamba matako ya viongoz wa ccm ili mpate teuzi.
wanaume kama nyie ni hasara tz
Acha wivu na woga,hufanyi viziri watu lazima wawe na hisia mbaya dhidi yako.Nimesikia captain Traole anakija Tanzania kwenye hafla ya mapinduzi ya nishati safi.
Ushauri wang: Asiruhisiwe kukanyaga hapa kwetu
Awepo kama nani kwenye mkutano?Wassira atakuwepo? 🤣
Mkali umesahau kumeza dawa zako Leo mbona sukari imekupanda mwanetumnasifia ujinga mixer kulamba matako ya viongoz wa ccm ili mpate teuzi.
wanaume kama nyie ni hasara tz
asiruhusiwe kivipi wakati ni kiongozi wa nchi? Aje tu, regardless uongozi wake ulipatikaneNimesikia captain Traole anakija Tanzania kwenye hafla ya mapinduzi ya nishati safi.
Ushauri wang: Asiruhisiwe kukanyaga hapa kwetu
We kama nani!Nimesikia captain Traole anakija Tanzania kwenye hafla ya mapinduzi ya nishati safi.
Ushauri wang: Asiruhisiwe kukanyaga hapa kwetu
Kwani unafikori yeye ni Key.Tutampa Hamsa Mobeto
Ndiyo demu wao wa BukinabeKwani unafikori yeye ni Key.
Nguvu na ushawishi wa KiDiplomasia wa Rais Samia inazidi kuheshimishwa KimataifaTraore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake.
Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo vizuri nje ya nchi itakuwa sehemu yakitangaza nchi kiuchumi na kiutalii.
Katika mbinu za kuitangaza nchi tunayo kila sababu ya kuruhusu vyombo vyetu vya habari vifanye matangazo makubwa kuanzia mapokezi yake hadi hotuba zake.
Tunapaswa kutumia fursa ya ujio wake kama njia ya kuifanya Duniani kufahamu ulinzi wa rasilimali zetu upo vipi na nini wafanye kuja kuwekeza.
Vyombo vya magharibi vitataka kumsikia anasema nini kuhusu nishati ! Vitataka kusikia anaeneza sumu gani kuwafanya waafrika wafikirie kujikomboa kwenye ukoloni Mamboleo. Fursa hii ina faida kwetu hasa pale tutakapounganisha matangazo ya nchi yetu na ujio wake.
Tunatakiwa kuitangaza Tanzania kwa kila opportunity tunayopata. Tuache kujifungia na ujamaa usio na tija. Chana wameweza na sasa wanajadiliwa Duniani kote, tutangaze nchi kibepari tuachane na ujamaa wakuabudi wazungu
Mapinduzi tayari tumeshampinduwa Mboye inatosha.Akija asisahau kutuletea mbinu rahisi ya kufanya mapinduzi.
Hivi JW hatuna vijana wazalendo wenye maono kama huyu Ibrahim Traore wakatuondolea haya manyang'au ya kijani yanayouza rasilimali zetu kwa mabeberu? Limebarikiwa tumbo lililombeba huyu mwamba. Sisi vijana wetu wako kuwashangilia majizi ya CCM vijana kama Lucas Mwashambwa ni hasara kwa Taifa.Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake.
Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo vizuri nje ya nchi itakuwa sehemu yakitangaza nchi kiuchumi na kiutalii.
Katika mbinu za kuitangaza nchi tunayo kila sababu ya kuruhusu vyombo vyetu vya habari vifanye matangazo makubwa kuanzia mapokezi yake hadi hotuba zake.
Tunapaswa kutumia fursa ya ujio wake kama njia ya kuifanya Duniani kufahamu ulinzi wa rasilimali zetu upo vipi na nini wafanye kuja kuwekeza.
Vyombo vya magharibi vitataka kumsikia anasema nini kuhusu nishati ! Vitataka kusikia anaeneza sumu gani kuwafanya waafrika wafikirie kujikomboa kwenye ukoloni Mamboleo. Fursa hii ina faida kwetu hasa pale tutakapounganisha matangazo ya nchi yetu na ujio wake.
Tunatakiwa kuitangaza Tanzania kwa kila opportunity tunayopata. Tuache kujifungia na ujamaa usio na tija. Chana wameweza na sasa wanajadiliwa Duniani kote, tutangaze nchi kibepari tuachane na ujamaa wakuabudi wazungu
Tofautisha uchaguzi wa golden standards na zile chaguzi za kihuni ulizozizoeaMapinduzi tayari tumeshampinduwa Mboye inatosha.
Unafahamu GDP ya Burkina Faso ni $20billion tu?!Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake.