Rais wa Burkina Faso Capt Ibrahimu Traore anatarajiwa kuja Tanzania January, 2025. Je, atatingisha jukwaa kama alivyofanya nchini Ghana?

Nimesikia captain Traole anakija Tanzania kwenye hafla ya mapinduzi ya nishati safi.

Ushauri wang: Asiruhisiwe kukanyaga hapa kwetu
 
asiruhusiwe kivipi wakati ni kiongozi wa nchi? Aje tu, regardless uongozi wake ulipatikane
 
Karibu Tanzania. Tumpe na nafasi ya kuhutubia Taifa hasa vyombo vyetu vya ulinzi.
 
Tafadhari mkuu, na kiti chake kiwe cha mbele kabisa aisee
 
Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake.

Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo vizuri nje ya nchi itakuwa sehemu yakitangaza nchi kiuchumi na kiutalii.

Katika mbinu za kuitangaza nchi tunayo kila sababu ya kuruhusu vyombo vyetu vya habari vifanye matangazo makubwa kuanzia mapokezi yake hadi hotuba zake.

Tunapaswa kutumia fursa ya ujio wake kama njia ya kuifanya Duniani kufahamu ulinzi wa rasilimali zetu upo vipi na nini wafanye kuja kuwekeza.

Vyombo vya magharibi vitataka kumsikia anasema nini kuhusu nishati ! Vitataka kusikia anaeneza sumu gani kuwafanya waafrika wafikirie kujikomboa kwenye ukoloni Mamboleo. Fursa hii ina faida kwetu hasa pale tutakapounganisha matangazo ya nchi yetu na ujio wake.

Tunatakiwa kuitangaza Tanzania kwa kila opportunity tunayopata. Tuache kujifungia na ujamaa usio na tija. Chana wameweza na sasa wanajadiliwa Duniani kote, tutangaze nchi kibepari tuachane na ujamaa wakuabudi wazungu
Nguvu na ushawishi wa KiDiplomasia wa Rais Samia inazidi kuheshimishwa Kimataifa
 
Hivi JW hatuna vijana wazalendo wenye maono kama huyu Ibrahim Traore wakatuondolea haya manyang'au ya kijani yanayouza rasilimali zetu kwa mabeberu? Limebarikiwa tumbo lililombeba huyu mwamba. Sisi vijana wetu wako kuwashangilia majizi ya CCM vijana kama Lucas Mwashambwa ni hasara kwa Taifa.
 
Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake.

Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo vizuri nje ya nchi itakuwa sehemu yakitangaza nchi kiuchumi na kiutalii.

Katika mbinu za kuitangaza nchi tunayo kila sababu ya kuruhusu vyombo vyetu vya habari vifanye matangazo makubwa kuanzia mapokezi yake hadi hotuba zake.

Tunapaswa kutumia fursa ya ujio wake kama njia ya kuifanya Duniani kufahamu ulinzi wa rasilimali zetu upo vipi na nini wafanye kuja kuwekeza.

Vyombo vya magharibi vitataka kumsikia anasema nini kuhusu nishati ! Vitataka kusikia anaeneza sumu gani kuwafanya waafrika wafikirie kujikomboa kwenye ukoloni Mamboleo. Fursa hii ina faida kwetu hasa pale tutakapounganisha matangazo ya nchi yetu na ujio wake.

Tunatakiwa kuitangaza Tanzania kwa kila opportunity tunayopata. Tuache kujifungia na ujamaa usio na tija. Chana wameweza na sasa wanajadiliwa Duniani kote, tutangaze nchi kibepari tuachane na ujamaa wakuabudi wazungu
Unafahamu GDP ya Burkina Faso ni $20billion tu?!
Ni ujinga na kujidanganya kufikiria kuna wawekezaji wa maana huko nje wanafuatilia habari za Traore kama Waafrica wa aina yako. Burkina Faso inajulikana zaidi kwa habari za Ugaidi huko nje, zaidi ya hapo ni nchi ya wakulima waganga njaa kwa 80%.
 
Back
Top Bottom