This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,198
- 5,454
Dah!...jamaa ana msimamo kweli kweliNasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.
Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.
Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.
Ni nini mtazamo wako.
Naunga mkono hoja. Aongezewe ulinziNasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.
Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.
Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.
Ni nini mtazamo wako.
siyo mfia dini kama wwTraore kichaa!!!
Tanganyika,hii ingekuwa dealNasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.
Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.
Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.
Ni nini mtazamo wako.
umewaza kama mmTanganyika,hii ingekuwa deal
Yupo sahihi kabisa naunga mkono Msaada mzuri ni kumsaidia vitu vya kujenga uchumi sio mambo ya UgaidiNasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.
Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.
Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.
Ni nini mtazamo wako.
Kichaa kivip sasaTraore kichaa!!!
Shule, Hospital,Ajira zitaongezeka watu watazaliana,misikiti itajaa ndio na mingine ijengwe!Yuko sahihi Traore!Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.
Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.
Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.
Ni nini mtazamshu
Mimi sio mfia dinisiyo mfia dini kama ww
Wewe ndio kichaa!!!!!!Traore kichaa!!!
AnayoyafanyaKichaa kivip sasa
Wewe ndio kichaa zaidi!!!Wewe ndio kichaa!!!!!!
Yaani hata faili Mirembe halitasoma,!Wewe ndio kichaa zaidi!!!