Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia kujengewa misikiti 200

Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia kujengewa misikiti 200

Jamaa ana akili sana; unajenga misikiti 200 wakati iliopo haijai, kama sio ujinga huo ni nini? Go ahead brother Ibrahim Traole, mtu wa maana kabisa wewe.
Halafu tokea miaka ya 1800+ misaada kutoka Uarabuni huaga misikiti na madrasa, husikii wakijenga shule au hospitals, why? Halafu Waislamu wana mlaumu Nyerere kwa kuwanyima elimu while same Nyerere alinyang'anya hadi shule za kanisa lake ili na wao wasome but hawakupeleka watoto wao shule instead wakapeleka madrasa, noumer kweli kweli
 
Misikiti 200 ni pesa nyingi ambazo zitajenga miundombinu mingine.
 
Wavaa kobas mtanunua.
Kijana mdogo Rais wa Bukinabe alipewa ofa ya kujengewa misikiti 200 kutoka nchi ya Saudi Arabia lakini kagoma. Kijana huyu mwenye maona ya kuikoboa nchi yake kawaambia Waarabu kama wanataka kufanya hivyo basi huu msaada na ofa hiyo wajenge shule, Hospitali na watengeneza mifumo ya biashara ili uwekezaji wao utasaidia vijana kupata ajira na kuibua nafasi nyingi za kazi. Chini ya Traore, Bukinabe imeibuka na kuwa nchi ya 11 kwa uzalishaji wa Vitunguu. Jaribu kuwaza kama msaada huu ungeletwa kwa nchini ambayo imekuwa ya kwanza kuzalisha zao la vijana wapumbavu wanaoshabikia Mpira na CCM.
 
Amefanya vyema Sana.

Badala ya kutaka kutoa Misaada ya kuwajengea Misikiti, Awaeleze kama kweli wanawatakia Heri Wananchi wa huko Burkina Faso basi hao Waarabu wa huko Saudi Arabia waende wakawekeze kwa kujenga Viwanda au kujenga majumba ya biashara (Real Estate Projects) kama vile Hoteli, Viwanja vya Michezo (Stadiums), n.k ili kutoa Ajira za kutosha kwa Wananchi wa Nchi hiyo ya Burkina Faso.
 
Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.

TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.

Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.

Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.

Ni nini mtazamo wako.

Mwamba hapepesi macho kukuambia kweli.
 
Huyu

Jamaa kichwa Sana Yaani hiyo misikiti ndio itajenga Ichi! Waarabu wajinga Sana misaada Yao ni misikiti na visima Tu.
Umenikumbusha mbali sana nilipokuwa nasoma Lushoto diploma ya sheria kwenye chuo cha uongozi wa Mahakama niliwahi kufanya maongezi na mwl wangu mmoja Mzanzibar alikuwa anaitwa Mzee Mzee. Alinieleza Kwa nn Zanzibar iko chini sana kielimu
 
Nikuulize wewe
myahudi yupo gaza anawawaisha jamaa zenu kwa makibra 72 na kwny mito ya gongo na wanzuki uko kwa shetani allah vp nenden mkawapganie ili nanyi muwaishwe maana mtakuta wenzenu wamewamalzia mabkra na gongo kwa shetan allah.
 
Traore ikiwezekana apewe maisha yooote ya marais wa Africa hao wengine hata wasipokuwepo Traore atasimama
 
Yupo sahihi kabisa naunga mkono Msaada mzuri ni kumsaidia vitu vya kujenga uchumi sio mambo ya Ugaidi
Hapo ugaidi uko wapi kujenga misikiti. Mbona makanisa yanapojegwa hamsemi ugaidi. Hebu fafanua mkuu
 
Ikiwa misikiti ipo na haina waumini jamaa yupo sahihi kabisa.

Sababu mwisho wa siku itakuwa matumizi mabaya ya ardhi tu.
 
Back
Top Bottom