Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia kujengewa misikiti 200

Wewe jamaa, mbona iko sawa ? Hata wewe ungechagua shule, hospitali, viwanda, maji, umeme na barabara kuliko misikiti. Na Traore kasema misikiti ipo haina watu. Sasa hapo kichaa nani, wewe au yeye
Sijamaanisha kuwa hana akili
 
Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.

TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.

Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.

Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.

Ni nini mtazamo wako.
Hii habari chanzo chake ni kipi na wewe umeihakiki vipi kujua ni ya ukweli?
 
Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.

TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.

Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.

Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.

Ni nini mtazamo wako.
Propaganda na Uongo mkubwa ulioleta...
 
Nilikuwa simpendi kwa namna alichukua uongozi kimabavu, ila kwenye hili nimeanza kumuelewa, azuie huo uzombi wa waarabu kuenea kwenye nchi yake.
Lakini kama sijakosea si huyu jamaa ni muislamu?
Malaria 2
 
Misaada ya misikiti haina tija, na uwekezaji wa kigeni nao hauna tija.

Mwarabu akishawekeza kwenye uchumii wako, miaka 30 40 ijayo, nchi itakuwa ya nani ?

Mwafrila hanaga uwezo wa kufikiri
 
We unaongelea nini kwani
naongelea ofa za shetani allah huko peponi wanaume watapewa mademu 72 kila kchwa hao mademu watakuwa na macho kama vikombe viuno vipana kama kichwa cha scania na kila mtu atakuwa na mto wake unaotililika gongo na wanzuki.
 
What???
 
Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.

TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.

Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.

Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.

Ni nini mtazamo wako.
Mwamba anajielewa sana. Tafsiri ya misikiti yote hiyo ni kwamba watu wasifanye kazi washinde misikitini tu na kuendelea kuwa masikini. Hongera kwake kwa kuukataa utumwa mambo leo.
 
Traore kichaa!!!
Misikiti mingi ya kazi gani while iliopo haijai? This according to Traore, halafu kua na misikiti mingi kuna ongeza nini kwa wananchi na nchi? Misaada ya kutoka nchi za Kiarabu huaga ya kipuuzi sana yaani. Watu wana elea kwenye ufukara, unapeleka msikiti? Pumbafu, msikiti unaondoa au unaongeza umasikini?
 
Jibu wewe
 
Nimeuliza hizi habari chanzo chake ni kipi na mmezihakiki vipi?

Mpaka sasa sijajibiwa.
 
Jibu wewe
Upumbavu tu; kama watu wanapenda dini yao why wajengewe nyumba za ibada? Wajenge wenyewe kama wanavyo fanya Wakristo, wao ndio wanajua kama wanahitaji misikiti au makanisa zaidi, sio jukumu la mtu wa nje kufikiria kuhusu hilo.
 
Nilishangaa eti huko chato wanaomba msikiti wa watu 10000 ujengwe na Serikali kwa kumuenzi magufuli.
 
Upumbavu tu; kama watu wanapenda dini yao why wajengewe nyumba za ibada? Wajenge wenyewe kama wanavyo fanya Wakristo, wao ndio wanajua kama wanahitaji misikiti au makanisa zaidi, sio jukumu la mtu wa nje kufikiria kuhusu hilo.
Sawa
 
Back
Top Bottom