Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia kujengewa misikiti 200

Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia kujengewa misikiti 200

Kwani unaongea nini mbona sikuelewi
Wewe jamaa, mbona iko sawa ? Hata wewe ungechagua shule, hospitali, viwanda, maji, umeme na barabara kuliko misikiti. Na Traore kasema misikiti ipo haina watu. Sasa hapo kichaa nani, wewe au yeye
 
Umenikumbusha mbali sana nilipokuwa nasoma Lushoto diploma ya sheria kwenye chuo cha uongozi wa Mahakama niliwahi kufanya maongezi na mwl wangu mmoja Mzanzibar alikuwa anaitwa Mzee Mzee. Alinieleza Kwa nn Zanzibar iko chini sana kielimu
Kwaajili ya ujinga wa imani yao ukiikumbatia sana maendeleo zero
 
Lissu huyu ambaye alipambana na Mkapa kupinga serikali isiuze migodi kwa wazungu mabeberu, na kuwatoa wananchi au Lissu wa India.
Jamaa wanamkubalia sana Lissu sema ukijani unawasumbua.
Kama kweli Tanzania tunataka mabadiliko yakweli basi Tuwe na kiongozi Kama Lissu.Jamaa anaufahamu wa Mambo mengi hatadanganywa.
 
Sisi tumejengewa misikiti mingi awamu fulani Kwa Pesa za misaada.

Tembea barabara ya DSM hadi Tunduma, angalia kushoto na Kulia, misikiti imejengwa kuliko Shule Wala zahanati.

Mbaya zaidi unakuta Kijiji hakina Zahati ila kina msikitini 🙌

Akili ni nywele
 
Mwamba huyo hataki ujinga, nchi ina shida nyingi za Msingi halafu kuna watu wanataka kujenga misikiti for what?
Kama kweli wanataka kutoa Msaada njia nyeupe wajenge shule sasa na hospital au viwanda kama kweli Wana nia njema
 
Dini Africa huwa nashangaa sana kuona jitu linashupalia dini dini dini.Dini ni utamaduni wa jamii fulani tu.Kwa nini wayahudi wana dini yao tu na asiye myahudi hapaswi kufuata hiyo dini na wala haienezi kama ilivyo kwa ukristo na uislam.Kuna mhindu rweyemamu kweli? Hizi dini waafrika zinatuathiri sana
 
Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.

TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.

Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.

Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.

Ni nini mtazamo wako.
Kaonesha msimamo lakini kama kiongozi kakurupuka, Ilibidi ashukuru huo msaada sio kuukataa moja kwa moja huku akitoa pendekezo mbadala kama hivo alivotaka wamjengee mashule
 
Kaonesha msimamo lakini kama kiongozi kakurupuka, Ilibidi ashukuru huo msaada sio kuukataa moja kwa moja huku akitoa pendekezo mbadala kama hivo alivotaka wamjengee mashule
Ashukuru ili iweje alikuambia ana shida ya misikiti ?
 
Ashukuru ili iweje alikuambia ana shida ya misikiti ?
Tunaweza bishana hapa kumbe mashehe wa kule ndio walioomba misikiti! Ww unahisi waarabu mapunguwani? Wanajitolea tu!!
 
Yuko sahihi sana,wanakujaga na offer kama hizo mwisho wa siku nchi imejaa magaidi kila kona na kuwatoa hamuwezi...
 
Yule ni mfia nchi sio mfia dini hongera Sana traore
 
myahudi yupo gaza anawawaisha jamaa zenu kwa makibra 72 na kwny mito ya gongo na wanzuki uko kwa shetani allah vp nenden mkawapganie ili nanyi muwaishwe maana mtakuta wenzenu wamewamalzia mabkra na gongo kwa shetan allah.
We unaongelea nini kwani
 
Hao Saudi lengo lao ni kuuza tende na kuongeza watu wa kwenda kuhiji. Saudi wanaendesha nchi yao kijanjajanja sana
 
Back
Top Bottom