Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia kujengewa misikiti 200

Huyu jamaa ana akili Sana, anachokifanya ni maendeleo kwa nchi yake!! Endapo kukiwa na miondominu yakutosha, ajira nazo zitakuwepo na kupunguza umasikini. Big up Traore
 
Waarabu ni wapumbavu sana misikiti na makanisa ya kazi gani ? Hata hapa tz misikiti na makanisa yanatakiwa yabaki machache tu ..kila wilaya misikiti si zaidi ya 4 na makanisa yasizidi ma 4 ...pia redio za dini na TV ziwe mbili tu...radio moja ya waislamu na TV moja ya waislamu ...na kwa wakristo radio moja ya Wakristo na TV moja ya wakristo zote zimilikiwe na serikali....watu wa dini wawe wananunua muda wa vipindi vyao ....mashuleni vipindi na masomo ya dini yapigwe marufuku na vitu vyote vyenye kuashiria dini vipigwe marufuku mashuleni bila ya kusahau upuzi wa hijabu


View: https://www.instagram.com/reel/DHT7zVwt5-s/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
 
Huyu
Jamaa kichwa Sana Yaani hiyo misikiti ndio itajenga Ichi! Waarabu wajinga Sana misaada Yao ni misikiti na visima Tu.
 
Labda Mobeto atatuletea hii DNA kupitia Aziz.
Maana kizazi kilichopo kwa sasa kina akili za washuti!
 
Labda wangekuja na ardhi kabisa (sababu hio ndio more important); tukijaza ardhi kwa ajili ya nyumba za imani sidhani kama tunaweza kuishi kwa neno pekee bali tunahitaji mkate...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…