Captain. Traore kafunguka akiwa anaongea na mawaziri wake,
Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe mwenyewe kupambana maana hata bepari nae hupambania watu wake kupitia wewe,
Lazima tulinde na kutumia rasilimali zetu vizuri na kuzilinda Kwa nguvu zote maana iko siku unaweza kujikuta umeingia mikataba mibovu na hauna tena rasilimali, unabaki kua mtumwa wa mikopo tu milele, Mbele ya safari mtaelewa Kwa nini watu wazima huitwa kama wanafunzi Kwa makundi, Pale kazi kubwa ni kutangaziwa makampuni yao, mabenki yao, ili muweze kujikaanga vizuri hakuna manufaa mengine,
Tuoombee burkinabe na amani iwe Kwa waburkinabe wote,