Rais wa Burkinafaso hatoshiriki tena mikutano ya mataifa makubwa isiyo na maslahi Kwa nchi yake

Captain. Traore kafunguka akiwa anaongea na mawaziri wake,

Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe mwenyewe kupambana maana hata bepari nae hupambania watu wake kupitia wewe,

Lazima tulinde na kutumia rasilimali zetu vizuri na kuzilinda Kwa nguvu zote maana iko siku unaweza kujikuta umeingia mikataba mibovu na hauna tena rasilimali, unabaki kua mtumwa wa mikopo tu milele, Mbele ya safari mtaelewa Kwa nini watu wazima huitwa kama wanafunzi Kwa makundi, Pale kazi kubwa ni kutangaziwa makampuni yao, mabenki yao, ili muweze kujikaanga vizuri hakuna manufaa mengine,

Tuoombee burkinabe na amani iwe Kwa waburkinabe wote,
Huyu ni Mwamba wa Afrika.
Halafu Burkinabe itakuja kuwa mkombozi wa Afrika, imetoa mabingwa kama hao..!
 
Captain. Traore kafunguka akiwa anaongea na mawaziri wake,

Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe mwenyewe kupambana maana hata bepari nae hupambania watu wake kupitia wewe,

Lazima tulinde na kutumia rasilimali zetu vizuri na kuzilinda Kwa nguvu zote maana iko siku unaweza kujikuta umeingia mikataba mibovu na hauna tena rasilimali, unabaki kua mtumwa wa mikopo tu milele, Mbele ya safari mtaelewa Kwa nini watu wazima huitwa kama wanafunzi Kwa makundi, Pale kazi kubwa ni kutangaziwa makampuni yao, mabenki yao, ili muweze kujikaanga vizuri hakuna manufaa mengine,

Tuoombee burkinabe na amani iwe Kwa waburkinabe wote,
Ila Putin akimwita chap tu anaruka kwake
 
Huyo kibaraka wa Putin hana jipya ameshindwa kuwapa ulinzi raia wake, Juzi tu magaidi alqaeda yameua watu zaidi ya 200
 
Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe mwenyewe kupambana maana hata bepari nae hupambania watu wake kupitia wewe,

Lazima tulinde na kutumia rasilimali zetu vizuri na kuzilinda Kwa nguvu zote maana iko siku unaweza kujikuta umeingia mikataba mibovu na hauna tena rasilimali, unabaki kua mtumwa wa mikopo tu milele, Mbele ya safari mtaelewa Kwa nini watu wazima huitwa kama wanafunzi Kwa makundi, Pale kazi kubwa ni kutangaziwa makampuni yao, mabenki yao, ili muweze kujikaanga vizuri hakuna manufaa mengine,,📌🔨💪🏿
 
IMG-20240904-WA0000.jpg
 
Captain. Traore kafunguka akiwa anaongea na mawaziri wake,

Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe mwenyewe kupambana maana hata bepari nae hupambania watu wake kupitia wewe,

Lazima tulinde na kutumia rasilimali zetu vizuri na kuzilinda Kwa nguvu zote maana iko siku unaweza kujikuta umeingia mikataba mibovu na hauna tena rasilimali, unabaki kua mtumwa wa mikopo tu milele, Mbele ya safari mtaelewa Kwa nini watu wazima huitwa kama wanafunzi Kwa makundi, Pale kazi kubwa ni kutangaziwa makampuni yao, mabenki yao, ili muweze kujikaanga vizuri hakuna manufaa mengine,

Tuoombee burkinabe na amani iwe Kwa waburkinabe wote,
Ni ujasiri wa kuigwa. Uzalendo unaotakiwa kwa viongozi wote wa Afrika.

Lakini atafeli, kwa vile yuko peke yake kimsimamo.

  1. Ikibidi, watamnaniliu, mabeberu hawana huruma. Watamfanyizia halafu itaonekana amefanyiziwa na wananchi wake.
  2. Bidhaa za nchi yake zitapigwa zengwe, dhahabu watasema ina damu, isiuzwe kokote duniani, na atakayenunua, anapigwa vikwazo.
  3. Pamba na nguo watasema zina mabaki ya dawa za kilimo, na ni hatari kwa afya, zisiuzwe kokote ulaya.
  4. Halafu wata-fund waandishi na vyombo vya habari kum-demonize yeye na sera zake, mwisho mpaka waburkinabe wenyewe watasema jamaa ni fala kama mafala wengine. Hapa ukumbuke nguvu ya western media na mifumo yao. Wazungu watatoa hadi scholarship kwa waburkinabe, kwenda kusoma ulaya huku tafiti zao zikilenga kuonesha ubovu wa huyu kiongozi na kwamba hana maana.
 
Hajaua yeye. Ni hao ndugu zetu katika Imani ndo wakulaumiwa.

Nyie huku mnakufa maelfu Kwa maelfu Kwa kukosa huduma za afya. Nyie ndo wajinga zaidi
Alifanya mapinduzi ya kijeshi ya nini sasa kama ameshindwa kudhibiti magaidi?!
 
Wajamaa huwa na mawazo mazuri sana. Pitia mawazo ya Nyerere, utasema ndiyo; hapa kuna jambo.

Ila sasa shida inaanzia kwenye utekelezaji. Hapa ndipo utagundua kwamba ujamaa ni moja ya mawazo mfu kabisa ambalo hata wafuasi wenyewe wa ujamaa kama China na Urusi hawapo tayari kusimamia kanuni zake.
 
Alifanya mapinduzi ya kijeshi ya nini sasa kama ameshindwa kudhibiti magaidi?!
Unajua we jamaa huwa unaongea kiwepesi sana.
Hivi unadhani ni jambo jepesi kudhibiti magaidi!?
Tena magaidi ambao wanashambulia kwa kushtukiza!??
Usiropoke bro,sio rahisi hivyo.
Begi la bomu linaweza likawekwa hapo watu tusijue kama bomu likalipua maelfu ya watu.
 
Sasa hizo export atamuuzia nani? Ili apate fedha kuweza kununua hiyo mitambo au mapipa ya lami kujenga barabara he is mad bybthe way serikali haiongozi na maono ya mtu m1. Awaulize venezuela sema tu Burkina faso hakuna cha ajabu
Kuna watu wanamuita huyo jamaa kuwa ni Deng Xiaoping wa Africa basi mi nacheka sana bila hata kuchangia chochote kwenye mjadala
 
Back
Top Bottom