Rais wa Burkinafaso hatoshiriki tena mikutano ya mataifa makubwa isiyo na maslahi Kwa nchi yake

Mungu anaipenda Africa. Katupa Magufuli mwingine kabla hatujamsahau chuma mwenyewe.

Mungu ibariki Africa.
Magu alikuwa mnafiki, alikuwa akiwasema vibaya mabeberu, wakati huo huo anaenda kuwakopa kimyakimya tena kwenye mabenki ya kibiashara yenye mariba makubwaaa. Mwafrika ni hopeless!
 
Kuna wakati mwalimu alishindana na IMF, ila baadae alinyoosha mikono. Huyo raisi ni maoni yake ila atanyoosha tu mkono.
Kipindi cha baba wa taifa hakukuwa na Option nyingine,ila sasa hivi kuna option nyingi sana.
Yapo mataifa kibao yameidindia UN na WB na maisha yanasonga.
 
Kawaida ya dictators hiyo ni wazuri wa kuaminisha ubaya wa wengine bila ya wao kumake moves za hayo mazuri yaliyo mawazoni mwao.
 
Masikini mjeuri tu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…