Rais wa Burundi asema wapenzi wa jinsia moja wanapaswa kupigwa mawe na hilo halitakuwa uhalifu

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
384
Reaction score
970
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsi moja nchini Burundi "wanapaswa kupigwa mawe" na kwamba hiyo haitakuwa uhalifu.

Rais alisema hayo katika mkutano wa moja kwa moja na waandishi wa habari siku ya Ijumaa, akijibu swali la mwandishi wa habari. Alisema kuwa nchi zenye nguvu "zinapaswa kusalia" na misaada yao kwa Burundi ikiwa misaada hiyo inaambatana na wajibu wa kutoa haki kwa wapenzi wa jinsi moja.

Alitumia maandiko ya biblia kusema kwamba Mungu anachukia mapenzi ya jinsi na kusema kwamba suala hilo halina mjadala nchini Burundi.

"Kwangu mimi, nadhani ikiwa tutapata watu hawa nchini Burundi wanapaswa kupelekwa kwenye viwanja vya michezo na kupigwa mawe, na kufanya hivyo haitakuwa kosa," rais alisema.

Bw Ndayishimiye alisema uhusiano wa jinsia moja ni kama "kuchagua kati ya Shetani na Mungu".

"Ikiwa unataka kumchagua Shetani sasa nenda ukaishi katika nchi hizo, na nadhani wale wanaojitahidi kwenda huko wanataka kuiga tabia hizo, wanapaswa kubaki huko na kamwe wasituletee," rais aliongeza.

Mapenzi ya jinsi moja ni kinyume cha sheria nchini Burundi na adhabu yake ni kifungo cha hadi miaka miwili jela.

Mwezi Agosti mwaka huu, watu saba walihukumiwa vifungo vya kati ya mwaka mmoja na miwili baada ya mahakama katika mji mkuu wa kisiasa Gitega kuwapata na hatia ya kushisriki mapenzi ya aina hiyo, walikanusha mashtaka.

Katika kanda ya Afrika mashariki mwezi Mei, Uganda ilitekeleza sheria za kupinga mapenzi ya jinsia moja ambazo ni pamoja na hukumu ya kifo kwa kosa la "kushiriki mapenzi ya jinsi moja".

Makundi ya kutetea haki za binadamu yamekuwa yakipinga sheria hizo mahakamani.
 
Kwa utajiri upi walionao hadi wafanye hivyo
 
Huyu Rais uchwara wa matopeni mwenye mapele kidevuni hana intellectual capacity ya kuzungumzia jambo lolote achilia mbali ushoga.

Ndio maana nchi yake ni NCHI KAPUKU NAMBARI MOJA ulimwenguni. Anaongoza nchi ya maiti waliojifia kwa umasikini na ujinga. Hapo anawazuga tu ili kupoteza wakati.

Angekuwa kwenye nchi timamu angenyofolewa hapo kitini kisha atumbuliwe majipu kidevuni kwa kosa la kuchochea uhalifu na ghasia katika jamii.
 
Ndio maana nchi yake ni NCHI KAPUKU NAMBARI MOJA ulimwenguni. Anaongoza nchi ya maiti waliojifia kwa umasikini na ujinga.

Angekuwa kwenye nchi timamu angenyofolewa hapo kitini kisha atumbuliwe majipu kidevuni kwa kosa la kuchochea uhalifu na ghasia katika jamii.

Mbona ni kama umepaniki mkuu?!
 
Na wanawake wanaruhusu kupigwa anal wauawe na wapenz wao vitandani
 
Natamani msimamo kama huu utolewe na Serikali yetu!
Msimamo wa kushambuliana kwa vigezo vya kijinga vya ushoga?

Huwezi kupambana na jambo kwa njia za uhalifu na za ghasia. Utasabisha watu wachomane visu kipumbavu, kila mtu atakuwa muhanga wa mashambulio ya kishoga.

Ukivaa suruali ya kubana unapigwa visu. Unaambiwa wewe ni shoga.

Huyo NdayeSHIME ni mshenzi tu asiye na kisomo wala stadi za utambuzi. Hata huo urais wake nafikiri aliupata kwa kutumia UCHAWI na MATUNGULI.
 
Tanzania na ujinga wake wote hakuna Rais anaweza kubwatuka upumbavu wa aina hiyo.

Speaker wazi wanajulikana,mwanaume ,kwann uvae nguo kama juma lokole
 
Huyu Rais uchwara wa matopeni mwenye mapele kidevuni hana intellectual capacity ya kuzungumzia jambo lolote achilia mbali ushoga.

Ndio maana nchi yake ni NCHI KAPUKU NAMBARI MOJA ulimwenguni. Anaongoza nchi ya maiti waliojifia kwa umasikini na ujinga. Hapo anawazuga tu ili kupoteza wakati.

Angekuwa kwenye nchi timamu angenyofolewa hapo kitini kisha atumbuliwe majipu kidevuni kwa kosa la kuchochea uhalifu na ghasia katika jamii.
Weka nembo mkuu tukutambue si mna haki
 
Back
Top Bottom