Bora kufa maskini kuliko kukalia kimya uasi wa kiwango cha ushoga na usagaji. Na nataka nisema hapa wazungu wanaelewa pia kwamba kuna nchi za kupeleka agenda za ushoga na zingine siyo za kupeleka. ujue wanatumia pesa nyingi kusukuma hiyo agenda.so wanapeleka sehemu ambayo watapata matokeo kwa haraka kwa gharama nafuuu.Wamejifichia kwenye kichaka cha haki za binadamu.Hii imeonekana ni haki ya msingi zaidi. Tusimamie values zetu,tutaeleweka tuu.wale wenye maslahi binafsi kwenye agenda hii lazima watapinga.Kwa utajiri upi walionao hadi wafanye hivyo
Siafiki pia adhabu ya mpaka kifo,lakini siafiki pia kwamba ushoga na usagaji ni jambo la kulikalia kimya kama nchi.lazima kama nchi iwe na msimamo mkali na ionekana hivyo bila kuwa na kigugumizi kwenye kulipinga hilo.
Na hapa mchango wa taasisi za dini zote unahitajika sanaa,wasikae kimya.Ijapo hizo hela za kishoga na kisagaji zinaingizwa kwenye baadhi ya taasisi za kidini kwa wingi sana.Kwa kuanzia wamepandwa viongozi wa dini kwa baadhi ya nchi ambao ni washiriki wa mapenzi ya jinsia moja ya wazi wazi ili kulihalisha hili.