Rais wa Burundi asema wapenzi wa jinsia moja wanapaswa kupigwa mawe na hilo halitakuwa uhalifu

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsi moja nchini Burundi "wanapaswa kupigwa mawe" na kwamba hiyo haitakuwa uhalifu.

Rais alisema hayo katika mkutano wa moja kwa moja na waandishi wa habari siku ya Ijumaa, akijibu swali la mwandishi wa habari. Alisema kuwa nchi zenye nguvu "zinapaswa kusalia" na misaada yao kwa Burundi ikiwa misaada hiyo inaambatana na wajibu wa kutoa haki kwa wapenzi wa jinsi moja.

Alitumia maandiko ya biblia kusema kwamba Mungu anachukia mapenzi ya jinsi na kusema kwamba suala hilo halina mjadala nchini Burundi.

"Kwangu mimi, nadhani ikiwa tutapata watu hawa nchini Burundi wanapaswa kupelekwa kwenye viwanja vya michezo na kupigwa mawe, na kufanya hivyo haitakuwa kosa," rais alisema.

Bw Ndayishimiye alisema uhusiano wa jinsia moja ni kama "kuchagua kati ya Shetani na Mungu".

"Ikiwa unataka kumchagua Shetani sasa nenda ukaishi katika nchi hizo, na nadhani wale wanaojitahidi kwenda huko wanataka kuiga tabia hizo, wanapaswa kubaki huko na kamwe wasituletee," rais aliongeza.

Mapenzi ya jinsi moja ni kinyume cha sheria nchini Burundi na adhabu yake ni kifungo cha hadi miaka miwili jela.

Mwezi Agosti mwaka huu, watu saba walihukumiwa vifungo vya kati ya mwaka mmoja na miwili baada ya mahakama katika mji mkuu wa kisiasa Gitega kuwapata na hatia ya kushisriki mapenzi ya aina hiyo, walikanusha mashtaka.

Katika kanda ya Afrika mashariki mwezi Mei, Uganda ilitekeleza sheria za kupinga mapenzi ya jinsia moja ambazo ni pamoja na hukumu ya kifo kwa kosa la "kushiriki mapenzi ya jinsi moja".

Makundi ya kutetea haki za binadamu yamekuwa yakipinga sheria hizo mahakamani.
Binafsi napendekeza mtu wa kwanza kukutwa na hatia baada ya hii kauli, apelekwe kwa Ndayishimye yeye ndio awe wa kwanza kumrushia mawe..
 
Huyu Rais uchwara wa matopeni mwenye mapele kidevuni hana intellectual capacity ya kuzungumzia jambo lolote achilia mbali ushoga.

Ndio maana nchi yake ni NCHI KAPUKU NAMBARI MOJA ulimwenguni. Anaongoza nchi ya maiti waliojifia kwa umasikini na ujinga. Hapo anawazuga tu ili kupoteza wakati.

Angekuwa kwenye nchi timamu angenyofolewa hapo kitini kisha atumbuliwe majipu kidevuni kwa kosa la kuchochea uhalifu na ghasia katika jamii.
Huna hata haya kuwa shoga we punguani? Ona hata aibu we uliyelaaniwa.
 
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsi moja nchini Burundi "wanapaswa kupigwa mawe" na kwamba hiyo haitakuwa uhalifu.

Rais alisema hayo katika mkutano wa moja kwa moja na waandishi wa habari siku ya Ijumaa, akijibu swali la mwandishi wa habari. Alisema kuwa nchi zenye nguvu "zinapaswa kusalia" na misaada yao kwa Burundi ikiwa misaada hiyo inaambatana na wajibu wa kutoa haki kwa wapenzi wa jinsi moja.

Alitumia maandiko ya biblia kusema kwamba Mungu anachukia mapenzi ya jinsi na kusema kwamba suala hilo halina mjadala nchini Burundi.

"Kwangu mimi, nadhani ikiwa tutapata watu hawa nchini Burundi wanapaswa kupelekwa kwenye viwanja vya michezo na kupigwa mawe, na kufanya hivyo haitakuwa kosa," rais alisema.

Bw Ndayishimiye alisema uhusiano wa jinsia moja ni kama "kuchagua kati ya Shetani na Mungu".

"Ikiwa unataka kumchagua Shetani sasa nenda ukaishi katika nchi hizo, na nadhani wale wanaojitahidi kwenda huko wanataka kuiga tabia hizo, wanapaswa kubaki huko na kamwe wasituletee," rais aliongeza.

Mapenzi ya jinsi moja ni kinyume cha sheria nchini Burundi na adhabu yake ni kifungo cha hadi miaka miwili jela.

Mwezi Agosti mwaka huu, watu saba walihukumiwa vifungo vya kati ya mwaka mmoja na miwili baada ya mahakama katika mji mkuu wa kisiasa Gitega kuwapata na hatia ya kushisriki mapenzi ya aina hiyo, walikanusha mashtaka.

Katika kanda ya Afrika mashariki mwezi Mei, Uganda ilitekeleza sheria za kupinga mapenzi ya jinsia moja ambazo ni pamoja na hukumu ya kifo kwa kosa la "kushiriki mapenzi ya jinsi moja".

Makundi ya kutetea haki za binadamu yamekuwa yakipinga sheria hizo mahakamani.
Mods unganisha huu Uzi hapa Burundi: Rais Evariste Ndamishiye asema mashoga wapigwe mawe hadharani
 
Back
Top Bottom