MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Ngoja waje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km nimekuelewa vileHapo kuna ugomvi wa madaraka mkuu.
Ahmad Ahmad alimwondoa mkongwe Issa Hayatou, Hayatou ni Cameroun, Ahmad Ahmad ni Madagascar.
Kuna 2 powerful blocks Africa ambazo ni Africa Magharibi na Kaskazini. Hayatou ni A Magharibi ambayo hata Bongo tulikuwa tunampa sapoti, Tenga kakataa kugombea mara mbili kutotaka kumchallenge Hayatou.
So, ili Ahmad apate sapoti alipata sapoti ya Kaskazini, lakini pia Hayatou alichemsha kwenye uchaguzi wa 2016 wa Fifa kwa kumsapoti mpinzani wa Infatino. By the time yeye ndiye alikuwa acting Presida wa Fifa. So Infatino alivyoingia alimpa sapoti Ahmad na kushinda uchaguzi.
Sasa mchezo ulivyo ni kwamba Hayatou aliacha Cameroun ndiye yuko planned ku-host AFCON 2019, ghafla Ahmad Ahmad wakasema timu zinaongezeka kutoka 16 mpaka 24, na Cameroun infrastructure zake zisingetosha kuhost 24 teams.
Cameroun wakanyanganywa na kupewa Egypt, ile kubadili idadi watu walitafsiri ni kumkomoa Hayatou, na Fifa ilibariki mabadiliko.
Kambi ya Magharibi ikaanza kuona kwamba Ahmad anapendelea Kaskazini, hivyo kwa kutumia network ya Hayatou ni kama wanataka kumtoa, na bahati nzuri Ahmad alipitisha kwamba kama siyo mjumbe wa kamati kuu hutakiwi kugombea, na Hayatou kashatolewa kwenye huo ujumbe wa FIFA.
Kwa hiyo sasa hivi ni full visasi, France ni allies wa Hayatou, 2016 kampuni ya France ilipata kuongeza mkataba wa rights za kuonesha Afcon kwa kipindi cha miaka 10. Ahmad alivyoingia alianza kuwachokonoa pia kwa kusema kulikuwa na upendeleo kwa hiyo kandarasi, sijui wamefikia wapi kwa sasa.
So kwa Ahmad kuvurunda ile juzi game ya Wydad ni kama alikuwa anatafutiwa kosa, na hilo swala la yeye kusema Wydad wakubali yaishe na anawaahidi kwamba next season watachukua wao sina uhakika wa ukweli wake, lakini inaonekana kama aliingia mtego pia.
Ngoja tusubiri kuona itakuwaje, kama ni mfatiliaji utakuwa umesikia marais kadhaa wa vyombo vya mpira Afrika wamefunguliwa funguliwa mashtaka, hao walikuwa wale wafuasi wa Hayatou ambapo Ahmad alitaka kama kuweka base yake.
It's power struggle na itamwondoa, akisevu hii uchaguzi utamwondoa.
NB: Ni maoni yangu.
Nafurahia kuzaliwa Africa,hivi vitu ningezaliwa nje ya Africa nisingeviona.....RAIS WA CAF ATIWA MBARONI NCHINI UFARANSA
Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) Ahmad Ahmad ametiwa mbaroni na mamlaka nchini Ufaransa ambako alikuwa akihudhuria Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).
Taarifa ya kukamatwa kwake imethibitishwa na FIFA lakini haijaweka wazi sababu zaidi ya kusema “Tuhuma zake zinahusiana na mamlaka yake akiwa Rais wa CAF”
Taarifa hiyo imeongeza kuwa “FIFA haijui kwa undani uchunguzi unaofanywa dhidi yake kwahiyo haiwezi kusema chochote”.
FIFA imeziomba mamlaka zinazohusika na sakata hilo nchini Ufaransa kutoa taarifa kwenye kamati yake ya maadili.
Ahmad Ahmad raia wa Madagascar amekamatwa ikiwa siku moja baada ya kuongoza kikao cha kamati ya utendaji ya CAF iliyoamuru kurudiwa kwa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Esperance na Wydad Casablanca baada ya kubainika kuwa ilikuwa na ukiukwaji wa taratibu.
View attachment 1119792
Km nimekuelewa vile
Mpira ni biashara kubwa ,hivyo fitina hazikosekaniJuzi kuna makala niliisikia Clouds FM, ilifafanua sana hizi issue za hawa jamaa.
Natamani ningeipata maana sikuifatilia vile, ila hii kesi ilivyoibuka nikakumbuka.
Mpira ni biashara kubwa ,hivyo fitina hazikosekani
MTC | 101| [emoji769]
Huyu aliingia kwa ule upepo wa kutoa timu Blater ,ambapo Hayatou alikua timu Blater , lzm apate tabuNa haya majamaa yanajitengenezea wigo wa kutotoka madarakani.
Ahmad inaonekana bado hajaweka mizizi ya ukweli.
Huyu aliingia kwa ule upepo wa kutoa timu Blater ,ambapo Hayatou alikua timu Blater , lzm apate tabu
MTC | 101| [emoji769]
Lazima fitna iwepo kumbuka hii CAF kuna kipindi ilionekana kujikita sana Africa kaskazini kuliko sub Sahara hata maamuzi yake yalipendelea nchi za kanda hiyo.Waarabu na West Africa hawakubali Rais wa CAF atoke ukanda wetu.
Ndo maana mashindano yote kila mwaka kuanzia robo fainali hadi fainali timu zinatoka West Africa na Kaskazini, wanajipendelea mno mashenzi sanaLazima fitna iwepo kumbuka hii CAF kuna kipindi ilionekana kujikita sana Africa kaskazini kuliko sub Sahara hata maamuzi yake yalipendelea nchi za kanda hiyo.
Uko sawa, kukomoana tu.Natamani ungejua mchezo unaochezwa hapa.
Africa yote ni disgrace, FIFA ina mkono wake kwenye hili.
Tenga nafasi yake hipo wapi kwenye hili sakata? Je bado ana vigezo vya kugombea?Hapo kuna ugomvi wa madaraka mkuu.
Ahmad Ahmad alimwondoa mkongwe Issa Hayatou, Hayatou ni Cameroun, Ahmad Ahmad ni Madagascar.
Kuna 2 powerful blocks Africa ambazo ni Africa Magharibi na Kaskazini. Hayatou ni A Magharibi ambayo hata Bongo tulikuwa tunampa sapoti, Tenga kakataa kugombea mara mbili kutotaka kumchallenge Hayatou.
So, ili Ahmad apate sapoti alipata sapoti ya Kaskazini, lakini pia Hayatou alichemsha kwenye uchaguzi wa 2016 wa Fifa kwa kumsapoti mpinzani wa Infatino. By the time yeye ndiye alikuwa acting Presida wa Fifa. So Infatino alivyoingia alimpa sapoti Ahmad na kushinda uchaguzi.
Sasa mchezo ulivyo ni kwamba Hayatou aliacha Cameroun ndiye yuko planned ku-host AFCON 2019, ghafla Ahmad Ahmad wakasema timu zinaongezeka kutoka 16 mpaka 24, na Cameroun infrastructure zake zisingetosha kuhost 24 teams.
Cameroun wakanyanganywa na kupewa Egypt, ile kubadili idadi watu walitafsiri ni kumkomoa Hayatou, na Fifa ilibariki mabadiliko.
Kambi ya Magharibi ikaanza kuona kwamba Ahmad anapendelea Kaskazini, hivyo kwa kutumia network ya Hayatou ni kama wanataka kumtoa, na bahati nzuri Ahmad alipitisha kwamba kama siyo mjumbe wa kamati kuu hutakiwi kugombea, na Hayatou kashatolewa kwenye huo ujumbe wa FIFA.
Kwa hiyo sasa hivi ni full visasi, France ni allies wa Hayatou, 2016 kampuni ya France ilipata kuongeza mkataba wa rights za kuonesha Afcon kwa kipindi cha miaka 10. Ahmad alivyoingia alianza kuwachokonoa pia kwa kusema kulikuwa na upendeleo kwa hiyo kandarasi, sijui wamefikia wapi kwa sasa.
So kwa Ahmad kuvurunda ile juzi game ya Wydad ni kama alikuwa anatafutiwa kosa, na hilo swala la yeye kusema Wydad wakubali yaishe na anawaahidi kwamba next season watachukua wao sina uhakika wa ukweli wake, lakini inaonekana kama aliingia mtego pia.
Ngoja tusubiri kuona itakuwaje, kama ni mfatiliaji utakuwa umesikia marais kadhaa wa vyombo vya mpira Afrika wamefunguliwa funguliwa mashtaka, hao walikuwa wale wafuasi wa Hayatou ambapo Ahmad alitaka kama kuweka base yake.
It's power struggle na itamwondoa, akisevu hii uchaguzi utamwondoa.
NB: Ni maoni yangu.
Tenga nafasi yake hipo wapi kwenye hili sakata? Je bado ana vigezo vya kugombea?
Salute bossHapo kuna ugomvi wa madaraka mkuu.