Rais wa CAF, Ahmad Ahmad anashikiliwa na polisi Ufaransa kwa tuhuma za rushwa

Km nimekuelewa vile
 
Nafurahia kuzaliwa Africa,hivi vitu ningezaliwa nje ya Africa nisingeviona.....
 
Mpira wa Africa inabidi tu mabeberu waje watusaidie maana ni upuuzi mtupu
 
Waarabu na West Africa hawakubali Rais wa CAF atoke ukanda wetu.
Lazima fitna iwepo kumbuka hii CAF kuna kipindi ilionekana kujikita sana Africa kaskazini kuliko sub Sahara hata maamuzi yake yalipendelea nchi za kanda hiyo.
 
Lazima fitna iwepo kumbuka hii CAF kuna kipindi ilionekana kujikita sana Africa kaskazini kuliko sub Sahara hata maamuzi yake yalipendelea nchi za kanda hiyo.
Ndo maana mashindano yote kila mwaka kuanzia robo fainali hadi fainali timu zinatoka West Africa na Kaskazini, wanajipendelea mno mashenzi sana

Ndo maana wachezaji wao wanaenda kucheza ulaya kwa kuwatengenezea network
 
Tenga nafasi yake hipo wapi kwenye hili sakata? Je bado ana vigezo vya kugombea?
 
Salute boss
 
mshikaji wake na wallace karia. karia huko aliko atakuwa hana raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…