antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Hapo mtoe Biden weka Saudia na Waarabu kwa ujumlaSi watetei wanaong'ang'ania madaraka. Lakini hii ipo Duniani kote Cheki Russia na Putin, Kina Biden, Uturuki China.
Hapo mtoe Biden weka Saudia na Waarabu kwa ujumlaSi watetei wanaong'ang'ania madaraka. Lakini hii ipo Duniani kote Cheki Russia na Putin, Kina Biden, Uturuki China.
Usimshtue bado anaota usingizini. Utamharibia ndoto za mchana.Biden 😳🙄 mkuu upo sayari gani kwa sasa?
😂😂🙏🙏Usimshtue bado anaota usingizini. Utamharibia ndoto za mchana.
Sasa mtu anaisha ufaransa anagombeaje Cameroon Aya si maajabuPaul Biya anaishia zake Paris, Ufaransa. Kuna muda anaongoza kikao cha Baraza la Mawaziri akiwa Paris.
Afrika inahitaji kutawaliwa tena kama alivyosema mwandamizi Trump
Humjui General Ally 🤣🤣Huenda hizi ni miongoni mwa habari ambazo Museven na Kagame wanazipenda zaidi kuzisikia.