mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Mtaalam utaongeaje bila takwimu? Aibu!Yetu macho tu siye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaalam utaongeaje bila takwimu? Aibu!Yetu macho tu siye
Sawasawa.Haya wameongezeka na hadi Sasa wagonjwa wamefika milion Saba na Vifo milion nne na wewe ukiwemo Kati ya waliokufa na Covid.Unasemaje hapo?
Maendeleo hayana chamaSasa vijana wameanza kuamka na kulipenda taifa lao
Rais wa chama cha madaktari, MAT ametoa kauli kuunga mkono utafiti uliofanywa na viongozi wa kisiasa kwamba korona imepungua kama sio kuisha kabisa nchini.
Ina maana tafiti za kiafya hufanywa na wanasiasa?Tuunge mkono tafiti za kiafya zilizofanywa na viongozi wetu wa kisiasa
Kidumu chama cha mapinduzi
#matege
Unataka ushuhuda gani zaidi we tomasoSio kila kitu kupinga pinga tu - wewe ulitakaje? Ulitaka madaktari wahitishe press conference wazungumzie masuala ya maabukizi ya virus Nchini wakiwa na lengo la ku pre empty kauli ya Serikali ambayo ndio mwajili wao - nchi haendeshwi kihuni kama mnavyo taka. Labda ni kuhoji swali dogo kama unafikiri maambukizi ya corona ni mengi sana nchini, ebu twambie umekwisha shuhudia misiba mingapi ya Corona katika mitaa unayo ishi, tuanzie hapo kabla hatuja jadiri horror stories zenu.
Sanaaa......umrkua confused na nn kwanihivi umeelewa kweli ata ulichoandika
Wao hawako field Kaka wanasiasa ndio wako field ndio maana watalaamu wananata na beat la wanasiasa badala ya wanasiasa kusubiri wataalamu wasemeMkuu, ulitaka waongee kile wewe unataka kusikia? Wao ndio wako field, wewe huku mtaani unatumia vigezo gani kuita walichosema ujinga?
Just pathetic....Kinachoshangaza madreva 30 tuu wakipimwa mipakani wanakuta wanao 5 au chini ya hao lkn huku unaambiwa hakuna aliyeongezeka sasa sijui huo ugonjwa unapenda sana madreva au uko mpakani zaidi kuliko katkati ya miji lkn hataivo hao madreva siwanatokea katkati ya miji??.
Kinachopingwa hapo sio utaalamu wao bali kinachoshangaza ni wataalamu kunata na beat za wanasiasa badala ya kua vice versaMpumbafu sana wewe, yaan na elimu yako ya kaptura unakuja kupinga wenye akili zao?
Sent using Jamii Forums mobile app
👍👍💯100% correct!
Sawa.......ungekua kua wataalam wetu ndio wenye stress usingeonea kihuni hivyo......wote wametulia zwa pale wizarani wamebaki walamba lolo tuHaya tumekusikia basi kalale upunguze stress! Pole.
Ndio maana fools wameongea kwanza kabla ya wataalamuUngetangulia wewe kusema kbla ya serikali tuone utaalamu wako fool
Ni babu yako,tena alikuwa ghafula kwelikweliWakitoa takwimu wataalamu wa afya hamtaki, akisema Rais wa nchi hamtaki, akisema Waziri wa afya hamtaki, akisema Mbowe mnakubali, akisema Balozi wa Marekani mnakubali. Hivi nani kawaroga?