Sio kila kitu kupinga pinga tu - wewe ulitakaje? Ulitaka madaktari wahitishe press conference wazungumzie masuala ya maabukizi ya virus Nchini wakiwa na lengo la ku pre empty kauli ya Serikali ambayo ndio mwajili wao - nchi haendeshwi kihuni kama mnavyo taka. Labda ni kuhoji swali dogo kama unafikiri maambukizi ya corona ni mengi sana nchini, ebu twambie umekwisha shuhudia misiba mingapi ya Corona katika mitaa unayo ishi, tuanzie hapo kabla hatuja jadiri horror stories zenu.
Huu ni ujinga wa hali ya juu sana. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo...
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
Kinyume chake, actually common sense is not always common tofauti kabisa na jinsi unavyo fikiria wewe!
Ni zaidi ya maagizo kutoka juu...Hii nji imeshalaaniwa? Tanzania credibility kitaifa na kimataifa imeporomoka vibaya sana...!
Nimemsikia huyu Dr. Osati Elisha akiongea na BBC Swahili hakika taarifa yake inasikitisha. Dr. Mzima anaongea ujinga na Uongo....Hana data na Hana reference yoyote....!!
Huyu Osati alikuwa ana kariri lugha za Wanasiasa.."MAAMBUKIZI YAMEPUNGUA SANA".....Non-sense!
Taarifa hii kama ilivyowekwa na JF haina shaka ni ya kweli."Roving Journalist, post: 35507046, member: 429096"]
Hayo yamesemwa na Dr. Elisha Osati, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) leo Mei 27, 2020
Kauli hii ni kuhakikisha wanaondoa taasisi za nje kama zile za kikanda, Afrika na WHO.[/quote]Tukizungumzia mwenendo wa corona, tumefanya tathmini ya ugonjwa huu kwa kushirikiana na madaktari pamoja na watafiti mbalimbali kutoka hapa kwetu.
Crap! Ugonjwa umepungua sana takwimu zipo wapi?Ugonjwa umepungua kwa kiasi kikubwa nchi kwa kuangalia vituo mbalimbali, haswa kwa vile vituo ambavyo wagonjwa walikuwa wanaweka wamepungua sana. Wale wagonjwa waliokuwa wanahitaji hewa ya Oksijeni wamepungua sana.
Nonsense !Mwezi wa nne tulikuwa tunapokea wagonjwa wengi na majibu ya watu wengi tuliokuwa tukiwapima zaidi ya asilimia 90 zilikuwa zinakuja na matokeo chanya kwamba wana Corona. Lakini kwa sasa hivi, yaani kwa wiki iliyopita, idadi ya sampuli zinazopelekwa na kurudi chanya ni chini ya 10% tu ya majibu ya vipimo vyote.
Nonsense ! kupungua kiasi kikubwa ni lugha ya layman siyo Daktari.Lakini pia kwa ngazi ya jamii, tumeona kwa ngazi ya jamii ugonjwa umepungua kwa kiasi kikubwa sana.
Hii aibu itaishia lini?Nafikiri mnakumbuka kuwa tulikuwa na namba za simu kwa ajili ya kuomba msaada au kutoa taarifa, kiasi cha wanaopiga simu kimepungua sana, pia waliokuwa wanatutafuta kwa matatizo ya kukosa ladha ya chakula au harufu pia imepungua sana.
Hapa anathibitisha kuwa watu hawaendi hospitali, halafu kiongozi huyo wa MAT anaaminisha umma ''idadi imepungua sana'' yaani hana hata takwimu za madaktari waliougua!Wengine wamerudi kazini tunaendelea kufanya nao kazi wengine wako nyumbani wanazidi kujiuguza lakini wanaendelea vizuri lakini tunawashukuru sana.
Mumeona siasa inavyofanya kazi. Huko nyuma kasema idadi imepungua sana, hapa anajisahau na kueleza ukweli kuwa watu hawaendi hospitali tena.Ukiwa muongo basi uwe na kumbu kumbu.Jambo la pili ni kwamba tunaona wagonjwa katika hospitali zetu bado watu hawajaanza kuja hospitali vizuri. Tungependa kuwahakikishia kuwa ugonjwa umepungua kwa hiyo watu wasikae nyumbani waje hospitali waweze kuhudumiwa kwa kuwa sisi madaktari tupo tayari kuwahudumia.
Na wale waliozikwa usiku!Wagonjwa wetu wengi (hapa Tanzania) hawakuwa na homa kali sana na wale waliokuwa na ugonjwa mkali tunashukuru wamepona.
Kama huna takwimu unaonge kwa kutumia vigezo gani?Ni aibu kwa taaluma ya afya ! Hii nonsense anasema ni taarifa ya MAT, Real?Sisi hatuna takwimukama general kwa sababu watu ambao wako responsible wapo, mheshimiwa Waziri Mkuu, Waziri wa Afya, Msemaji wa Serikali na Rais wanaweza kusema kuhusu takwimu.
oh no!Sisi tumefanya analysis ya kitaalamu kuangalia vituo vyetu vya afya vya kutolea huduma, tumeangalia wale wagonjwa wanaokuja na kuangalia jamii.
Ni kweli lakini wataalamu ndio waliotakiwa kuongoza. Hebu elezea wataalamu waliotumbuliwa walikuwa na kosa gani?woga tuu unawasumbua.Kupenda kufikiri uwezavyo, kujijibu na kuhukumu ni aina ya ujinga pia. Unakaataje wakati wamesema wao, hapo ulipo usikute hujawahi kumuona hata mgonjwa wa Covid,wala hujafiwa na ndugu,rafiki na jirani ila unaongea tu..sasa hivyo vifo mitaani viko wapi?
Hata uongee na watu mia hutamuona anaekwambia kua kafiwa na ndugu au jirani kwa Covid, sisi wengine ni watu wa masafa mikoani kila kukicha na kupita huko mitaani lakini hatuoni vifo vya Covid-19. Sijui waTanzania mmerogwa na nani, natambua tatizo lipo lakini halipo kwa kiwango kisemwacho
Kweli Chief JituMirabaMinne!Vyuo vikishafunguliwa hakutakuwa na mtu wa kutuaminisha kama corona ipo au haipo.
Chochote kitakachojiri kitasambaa kama moto nyikani.
The saying goes, " NUMBERS SPEAKS" and " NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK"Eti
Umepungua sana...
Umepungua kwa kiasi kikubwa...
Wamepungua mno...
Inaonekana kupungua...
Hii ni f***g shit data gani hiyo haina namba yani wanakaa wanaona watanzania ni wa miaka ya 1880 sio
Wapi Godwin Mollel daktari aliyesomea mitishamba na upiga ramli?Eti
Umepungua sana...
Umepungua kwa kiasi kikubwa...
Wamepungua mno...
Inaonekana kupungua...
Hii ni f***g shit data gani hiyo haina namba yani wanakaa wanaona watanzania ni wa miaka ya 1880 sio
Huu ni ujinga wa hali ya juu sana. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo...
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti