Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

Hao waliokuwa na "wasaidizi" ndiyo walideliver Richmond, EPA, Bagamoyo, etc

Unaona jinsi Rais anavyoamini wasaidizi wake anaanguka kwa kutia saini miswada kibao iliyopitiwa na wasaidizi wake na siku akijua wasaidizi wake hawakufanya vyema pia hasiti kuwatumbua

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…