Rais wa Club African na Bodi ya Wakurugenzi wajiuzulu

Rais wa Club African na Bodi ya Wakurugenzi wajiuzulu

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Kufuatia matokeo ya kichapo kutoka kwa Yanga, Rais wa Club Aficain na Bodi ya Wakurugenzi wametangaza kujiuzuLu kupitia mitandao yao ya kijamii.

Daima mbele, nyuma mwiko!

Screenshot_20221110-183941.jpg
 
Walikariri eeeeh,we timu gani inaenda kwenye mechi dakika 30 za mechi wanajiangusha bila sababu,Kwa Mkapa tulicheza dakika 75-80 zingine zote ni Kulala tu......hata kama wanasifiwa wamewekeza vizuri ila wanambinu za kijinga sana
 
Ile mechi ya kwanza walinikera sana yaani mpaka ilikua too much yaan unawekezaje mahela mengi alafu unacheza ujinga vile

Na club African ujue sio wazuri unatoaje droo na kipanda in first place ule ulikua udhaifu Mkubwa sana Zanzibar Kuna mpira gani
 
HATARE SANA

RAIS WA CLUB AFRIQUE AMEJIUZULU NA BODI NZIMA KWA KUSHINDWA KUELEKEA SHIRIKISHOOO.....BAADA YA KUFUNGWA NA WANANCHI AKA YANGA
 
Back
Top Bottom