Rais wa Club African na Bodi ya Wakurugenzi wajiuzulu

Rais wa Club African na Bodi ya Wakurugenzi wajiuzulu

Al Hilal na Club African wote Wana fanana, Yaani Kwa namna wanavyo jiangusha na kulala uwanjani wanahitaji magodoro tu Ili wakamilishe usingizi.
 
Kwakweli ni aibu, hata kama ingekuwa ni Mimi ningejiuzulu kufungwa na Yanga.
Mbona Bodi ya simba haijiuzulu pamoja na vipigo na draw za mfululizo wanavyopokea kutoka kwa Yanga
Bahati mbaya Mimi sio mkurugenzi wa Simba. Ila ningefungwa mara mbili mfululizo hapa bongo ningejiuzulu
 
Mbona Bodi ya simba haijiuzulu pamoja na vipigo na draw za mfululizo wanavyopokea kutoka kwa Yanga
Ni aibu sana kufungwa na Yanga mechi ya kimataifa. Ikitokea Simba akifungwa na Yanga mechi muhimu ya kimataifa hakuna kiongozi atakae baki.
 
Basi waambieni club zote za soka za ligi kuu TZ wajiuzuru sababu wote walichezea kichapo toka kwa Yanga msimu uliopita.
Simba wamechezea kichapo mara nyingi zaidi.
Ukiwaza vizuri utapata majibu. Club Africa wangetolewa na timu km mamelod, esperense, Simba, tp mazembe wala wasingejiuzulu coz ni timu kubwa, ila wamejiuzulu kutokana na timu waliyofungwa nayo.
 
Ukiwaza vizuri utapata majibu. Club Africa wangetolewa na timu km mamelod, esperense, Simba, tp mazembe wala wasingejiuzulu coz ni timu kubwa, ila wamejiuzulu kutokana na timu waliyofungwa nayo.
Timu kubwa kwa umbumbumbu/kelele/malalamiko/ushirikina wa kuwasha moto uwanjani tu ila hakuna kombe lolote la Wanaume/Klabu bingwa ya Africa au hata la shirikisho analocheza Yanga hivi sasa.
JamiiForums-1072397695.jpg
 
Wanawaonea tu wamecheza na wataalamu wa hizi kazi hata angekuwa madrid angrpigwa tu
 
HATAREE SANAA
RAIS WA CLUB AFRIQUE AMEJIUZULU NA BODI NZIMA KWA KUSHINDWA KUELEKEA SHIRIKISHOOO.....BAADA YA KUFUNGWA NA WANANCHI AKA YANGA
Yaani wanaamini kuwa Yanga ni timu ya hadhi ya chini sana mpaka waone aibu kufungwa na Yanga?
 
Tumafukuzisha MAKOCHA WA SIMBA KILA SIKU HUYU NANI ABAKI...BASI TU MO ALIWAWEZA NA KAPACENT KALE
 
Mechi za Ngao ni kawaida hizo. Ila ikitokea mechi ya kimataifa simba ikifungwa na yanga hata Mo anaondoka maana ni aibu kubwa sana.
Sentensi yako umesema mechi muhimu. Je ngao ya jamii haina umuhimu? Vipi kuhusu kombe la Azam na la ligi kuu nalo Simba hawana umuhimu nalo pia?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom