Rais wa Club African na Bodi ya Wakurugenzi wajiuzulu

Walikariri eeeeh,we timu gani inaenda kwenye mechi dakika 30 za mechi wanajiangusha bila sababu,Kwa Mkapa tulicheza dakika 75-80 zingine zote ni Kulala tu......hata kama wanasifiwa wamewekeza vizuri ila wanambinu za kijinga sana
 
Ile mechi ya kwanza walinikera sana yaani mpaka ilikua too much yaan unawekezaje mahela mengi alafu unacheza ujinga vile

Na club African ujue sio wazuri unatoaje droo na kipanda in first place ule ulikua udhaifu Mkubwa sana Zanzibar Kuna mpira gani
 
HATARE SANA

RAIS WA CLUB AFRIQUE AMEJIUZULU NA BODI NZIMA KWA KUSHINDWA KUELEKEA SHIRIKISHOOO.....BAADA YA KUFUNGWA NA WANANCHI AKA YANGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…