Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Big up sana kijana wetu john umeituwakilisha vzur udom, kesho mapokez yatafanyika viwanja vya coed karibun nyote wana udom na wengine kumpokea rahia wetu
uchaguzi wenyewe una utata, wajumbe wengine walikuwa Mwenge na mgombea na wengine walikuwa Morogoro na mgombea wao . Kimsingi waliokuwa mwenge na mgombea wao walikuwa ni magwanda na waliokuwa Morogoro na Mgombea wao ni magamba . sasa magamba wamejitangazia ushindi peke yao bila kuwashirikisha wale wa Mwenge. Ngoja wa mwenge waje na tamko lao
Big up sana kijana wetu john umeituwakilisha vzur udom, kesho mapokez yatafanyika viwanja vya coed karibun nyote wana udom na wengine kumpokea rahia wetu
someni shule acheni siasa kendge nyie!
Big up sana kijana wetu john umeituwakilisha vzur udom, kesho mapokez yatafanyika viwanja vya coed karibun nyote wana udom na wengine kumpokea rahia wetu
Kiufupi marahis weng wa CNMS wapo vzur ila cjui huyu wa sahv
Kuanzia heading hadi thread yenyewe sijaelewa kitu. Sijui kisomali hicho. Mara "rahisi" mara "rahia" Mnh!
`Rahia' ndo dawa gani
kuna tahlso ngapi nchi hii