Rais wa COED UDOM ameachaguliwa kuwa rahisi wa vyuo vikuu vyote Tanzania

Rais wa COED UDOM ameachaguliwa kuwa rahisi wa vyuo vikuu vyote Tanzania

Mkuu ni Kabeo siyo kobeho alikuwa mpiganaji wa kweli nasikia bado anaendeleza harakati
 
uchaguzi wenyewe una utata, wajumbe wengine walikuwa Mwenge na mgombea na wengine walikuwa Morogoro na mgombea wao . Kimsingi waliokuwa mwenge na mgombea wao walikuwa ni magwanda na waliokuwa Morogoro na Mgombea wao ni magamba . sasa magamba wamejitangazia ushindi peke yao bila kuwashirikisha wale wa Mwenge. Ngoja wa mwenge waje na tamko lao
 
Naanza kuelewa, niki connect matukio napata jibu. vipi kamanda mdede alikua moro au mwenge?
 
Huo uchaguzi uliofanyika morogoro ni batili, hauwezi ukaitisha uchaguzi bila chair wa tahlso kuwepo eneo husika, Mh Mussa Mdede yupo Mwenge Catholic University (ilikuwa branch ya saut, mwaka huu imekuwa chuo kamili) kwenye kikao kilichoitishwa kisheria, na ndipo uchaguzi wa rais wao utakapofanyika, nadhani soon mtamjua ni nani
 
Si nimeona mtu anaitwa fransisca amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa tahliso.
 
Wat i know na wote tunafahamu kuwa tahlso ni moja tu, na ndio inayoongozwa na Mh Mussa Mdede
 
Big up sana kijana wetu john umeituwakilisha vzur udom, kesho mapokez yatafanyika viwanja vya coed karibun nyote wana udom na wengine kumpokea rahia wetu

Kuanzia heading hadi thread yenyewe sijaelewa kitu. Sijui kisomali hicho. Mara "rahisi" mara "rahia" Mnh!
 
Big up sana kijana wetu john umeituwakilisha vzur udom, kesho mapokez yatafanyika viwanja vya coed karibun nyote wana udom na wengine kumpokea rahia wetu

Duh! Rahia. Kweli wewe mwana UDOM...
 
Back
Top Bottom