Ata aki legalize bado wenye biashara hizo ni watu kwenye serikali so wataweka olongo mkubwa wa kupata hivyo vibali.Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amesema biashara ya kokeini inaweza kudhibitiwa kwa urahisi ikiwa dawa hiyo itahalalishwa duniani kote, kwakuwa dawa hiyo si mbaya zaidi kuliko whisky.
Katika mkutano wa mawaziri uliorushwa moja kwa moja, Petro amesema Kokeini ni haramu kwa sababu inatengenezwa Amerika ya Kusini, si kwa sababu ni mbaya zaidi kuliko whisky, akiongeza kuwa wanasayansi wamechambua suala hilo.
Kiongozi huyo aliyeingia madarakani mwaka 2022, ameahidi kupambana na biashara ya dawa za kulevya na kudhibiti matumizi ya dawa haramu. Hata hivyo, tangu aingie madarakani, uzalishaji wa kokeini nchini Colombia umeongezeka.
Vijana wa Tanzania future yao iko kwenye Uchawa.Nchi ishakiwa na watu wanao jipatia utajiri kwa njia ambazo si za halali then serikali ikawachia, matokeo ya ndio haya serikali imepoteza control. Wauza poda ndio wamekuwa maroke model wa vijana na future yao yao wataitengeza kwa kuwaangalia wao.
akina pablo escobaNchi ya magenge ya madawa ya kulevya hiyo.
Wanufaikaji wakubwa wa Biashara haramu kama kokeini ni Wamarekani.Petro amesema Kokeini ni haramu kwa sababu inatengenezwa Amerika ya Kusini, si kwa sababu ni mbaya zaidi kuliko whisky, akiongeza kuwa wanasayansi wamechambua suala hilo.
mhKuna point kwenye hoja yake kwamba Wamarekani huona kila kitu ni haramu kwao kama hakiwaingizi pesa na huo ndio ukweli.
Rejea sakata la Tik Tok.
Wanufaikaji wakubwa wa Biashara haramu kama kokeini ni Wamarekani.
Ukweli ni kwamba hakuna soko kubwa na la uhakila kama soko la kokeini la Marekani. Hivi Trump akisema Wamarekani wanaotumia madawa ya kulevya hususani Kokeini Marekani waaache ama watanyongwa nn kitatokea?
Hata hivyo jamaa naye anatumia kitabu cha Trump. Let's see how this unfolds.