Rais wa Ethiopia awasili Chato mkoani Geita. Rais Magufuli aahaidi kuwaachia wahamiaji haramu 1789 kutoka Ethiopia bila masharti

Alipohamishia serikali Dodoma mlipinga, Anafanyia kazi ikulu ya chato mnapinga, Asipofanya kazi mnasema kajificha corona.... Akianza kufanyia kazi mkoa gani kwenu itakua sawa?

Mamlaka ya rais iheshimiwe tuu
Chato kuna ikulu? Nijuavyo ikulu ndogo ni makao makuu ya mikoa sasa labda tuambiwe makao makuu ya Geita ni chato
 
Rais Magufuli amempokea mgeni wake na baada ya kushuhudia burudani mbalimbali viongozi hawa wawili wanaondoka kuelekea Ikulu kwa mazungumzo.
Wanaelekea Ikulu ipi..? Chato kuna Ikulu?. Akili zenu MaCCM ndio mmeshakabizi kwa Mfalme JUHA.
Kila anacho fanya nyie ni kupamba tu, hata kikiwa ni uwenda wezimu mnasema mitano tena..
 
Sasa kuna nini?
 
Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato.

Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua.

Up dates;

Rais Magufuli amempokea mgeni wake na baada ya kushuhudia burudani mbalimbali viongozi hawa wawili wanaondoka kuelekea Ikulu kwa mazungumzo.

Tutawaletea yanayojiri huko.
samahani hiyo ikulu ni majengo ya serikali au makazi yake binafsi yamegeuzwa kuwa ikulu bwashee?
 
Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato.

Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua.

Up dates;

Rais Magufuli amempokea mgeni wake na baada ya kushuhudia burudani mbalimbali viongozi hawa wawili wanaondoka kuelekea Ikulu kwa mazungumzo.

Tutawaletea yanayojiri huko.
Ni jambo jema,kumbe uwanja wa ndege Chato unaumuhimu kwa taifa letu.
 
Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato.

Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua.

Up dates;

Rais Magufuli amempokea mgeni wake na baada ya kushuhudia burudani mbalimbali viongozi hawa wawili wanaondoka kuelekea Ikulu kwa mazungumzo.

Tutawaletea yanayojiri huko.
Kumbe na chato imejegwa ikuru ndogo, kama vile ya Mabutu etii ?
 
Sina uhakika kama Mwalimu (RIP) ali host Mwaliko wa kidola ndani ya Butiama, Sina uhakika vilevile kama Mzee Mwinyi alifanya dhifa ya kitaifa hapo kwake msasani ama Zanzibar - ama Mzee wetu Mkapa (RIP) naye kule Lupaso ama Lushoto, halikadhalika sina uhakika kama Jakaya alifanya mwaliko kama huu huko Msoga !!

Katiba ya nchi inasemaje kuhusu ugeni kama huu !! Je Chato ina Ikulu tayari ? Sipingi kuwapokea wageni hawa ila utatarabiu wa Katiba na Sheria zetu unasemaje tafadhali
Unaogopa mabadiriko wewe...maisha hayapo constant ki hivyo
 
Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato.

Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua.

Up dates;

Rais Magufuli amempokea mgeni wake na baada ya kushuhudia burudani mbalimbali viongozi hawa wawili wanaondoka kuelekea Ikulu kwa mazungumzo.

Tutawaletea yanayojiri huko.
Huu ugeni mzito namna hii mbona mimi sijaalikwa? Ndiyo nausikia leo kwenye media
 
Back
Top Bottom