Chato kuna ikulu? Nijuavyo ikulu ndogo ni makao makuu ya mikoa sasa labda tuambiwe makao makuu ya Geita ni chatoAlipohamishia serikali Dodoma mlipinga, Anafanyia kazi ikulu ya chato mnapinga, Asipofanya kazi mnasema kajificha corona.... Akianza kufanyia kazi mkoa gani kwenu itakua sawa?
Mamlaka ya rais iheshimiwe tuu
bado hujajibu hoja - Chato kuna IKULU ?Katiba haivunjwi bali itafanyiwa marekebisho
Bawacha wataongoza majadiliano kwa kambi ya upinzani kwa sababu ndio chama chenye wabunge wengi!
Utawaweza hao waandishi wa habari,ndiyo kazi yao radio uhuru.Kwa hiyo uko Chato muda huu Bwashee!
Wanaelekea Ikulu ipi..? Chato kuna Ikulu?. Akili zenu MaCCM ndio mmeshakabizi kwa Mfalme JUHA.Rais Magufuli amempokea mgeni wake na baada ya kushuhudia burudani mbalimbali viongozi hawa wawili wanaondoka kuelekea Ikulu kwa mazungumzo.
Ipo!bado hujajibu hoja - Chato kuna IKULU ?
Sasa kuna nini?Wanaelekea Ikulu ipi..? Chato kuna Ikulu?. Akili zenu MaCCM ndio mmeshakabizi kwa Mfalme JUHA.
Kila anacho fanya nyie ni kupamba tu, hata kikiwa ni uwenda wezimu mnasema mitano tena..
samahani hiyo ikulu ni majengo ya serikali au makazi yake binafsi yamegeuzwa kuwa ikulu bwashee?Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato.
Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua.
Up dates;
Rais Magufuli amempokea mgeni wake na baada ya kushuhudia burudani mbalimbali viongozi hawa wawili wanaondoka kuelekea Ikulu kwa mazungumzo.
Tutawaletea yanayojiri huko.
Muda kama wa Machame!
Ni jambo jema,kumbe uwanja wa ndege Chato unaumuhimu kwa taifa letu.Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato.
Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua.
Up dates;
Rais Magufuli amempokea mgeni wake na baada ya kushuhudia burudani mbalimbali viongozi hawa wawili wanaondoka kuelekea Ikulu kwa mazungumzo.
Tutawaletea yanayojiri huko.
Kumbe na chato imejegwa ikuru ndogo, kama vile ya Mabutu etii ?Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato.
Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua.
Up dates;
Rais Magufuli amempokea mgeni wake na baada ya kushuhudia burudani mbalimbali viongozi hawa wawili wanaondoka kuelekea Ikulu kwa mazungumzo.
Tutawaletea yanayojiri huko.
Sana!Ni jambo jema,kumbe uwanja wa ndege Chato unaumuhimu kwa taifa letu.
Hakuna mkoa usiokuwa na Ikulu ndogo!Kumbe na chato imejegwa ikuru ndogo, kama vile ya Mabutu etii ?
Nilikuwa nadhani kuwa pale anapokaa ni kwake, kumbe yale majengo ni ya serikali na ndiyo ikuru ndogo ya mkoa wa geita, eti ?Hakuna mkoa usiokuwa na Ikulu ndogo!
Ikulu siyo majengo, jifunze hilo kwanza!Nilikuwa nadhani kuwa pale anapokaa ni kwake, kumbe yale majengo ni ya serikali na ndiyo ikuru ndogo ya mkoa wa geita, eti ?
Unaogopa mabadiriko wewe...maisha hayapo constant ki hivyoSina uhakika kama Mwalimu (RIP) ali host Mwaliko wa kidola ndani ya Butiama, Sina uhakika vilevile kama Mzee Mwinyi alifanya dhifa ya kitaifa hapo kwake msasani ama Zanzibar - ama Mzee wetu Mkapa (RIP) naye kule Lupaso ama Lushoto, halikadhalika sina uhakika kama Jakaya alifanya mwaliko kama huu huko Msoga !!
Katiba ya nchi inasemaje kuhusu ugeni kama huu !! Je Chato ina Ikulu tayari ? Sipingi kuwapokea wageni hawa ila utatarabiu wa Katiba na Sheria zetu unasemaje tafadhali
Huu ugeni mzito namna hii mbona mimi sijaalikwa? Ndiyo nausikia leo kwenye mediaNdege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato.