Niliposoma hii para nimegundua huijui CHADEMA..... Cheo cha makamu Mwenyekiti ni ceremonius tu na ndio kitu Prof.Safari alilalamikia maana ww ni kukaimu tu ila huna powers zozote so huyo Issa Mohammed awe CCM awe ACT hana madhara. Ni kama Maalim SUK hana lolote zaidi ya title tu.
Then lazima ufahamu kuna system inaitwa ''Narrow Approach'' usidhani mikakati ya CHADEMA inapangwa na kamati kuu la hasha, kuna parallel machinery yenye watu wasiozidi 5 ambao ni loyal hao ndio wanapanga ajenda na kutoa maoni kwa Mwenyekiti who in turn decides what to tell the central committee. Na sio tu CHADEMA ipo CCM ipo RPF ipo NRM ipo ODM n.k ili kuepuka leakage na mapandikizi.
Hata negotiation za Maalim na CCM kamati kuu yenu hamkuambiwa kila kitu hta Zitto was left in Darkness. Kaja kushtukizwa tu kuwa Maalim amekubali ilihali a day prior to the announcement, Zitto akiwa na Lissu alituhakikishia hakuna mwana ACT ataenda kuapa!!!
NB: Chama kikuu mbadala ni CHADEMA tu sababu ya consistency iliyoonyesha, CUF ilitingishwa tu ikafa ila CHADEMA imevuka mitihani yote hadi sasa imefikia level CCM ikaona suluhisho ni kupora tu chaguzi but ACT hamuwezi jivunia lolote coz mmefeli kabisa hakuna progress ya maana iliyotarajiwa baada ya maalim kujiunga. Hvi leo hii Arusha kuna ACT au Geita? Ama ACT ni chama cha upande mmoja tu wa muungano?
Funny
Ndio mana nimesema Chadema ni dhaifu sana na sio Institution imara yaani mtu kwa Level ya Makamo Mwenyekiti anakihujumu chama unasema.. Funny! It is ceremounus, Kwa msingi huo basi ulitaka maalim seif nae akubaliane na Lipumba kuokoa zile herufi 3 za neno CUF kwa vile Lipumba naye alikuwa ceremonius kwa kule bara? poor Chadema ivi hizi ndio fikra na utamaduni wenu? hiyo Narrow Approach itatoka wapi sasa.,
Maalim seif lazima atakuwa ni genious alikubali kukosa hiyo CUF lakini awe na jukwaa na strong Institution ambayo haina mamluki ndani yake na huyo ndio tunamuita mwanasiasa aliyebobea. Unaweza kunambia sasa iyo CUF na Lipumba yuko wapi ? lazima utagundua maalim ni genious., CUF ilitingishwa kwa sababu walijua ndio ilikuwa Taasisi imara Tanzania yenye kuleta upinzani, lakini akili ikafanya kazi na ku- turn decides hichi kilichotokea maalim seif na ACT ambayo leo amepata jukwaa la kufanyia siasa bila tofauti yeyote na alipokuwa na pengine yupo mahali imara zaidi.
Well.., yawezekana Zitto hakutarajia kilichotokea maalim kujiunga lakini ilikuwa Zitto hajafanya mashauriano na maalim na ACT Zanzibar kuona kile walichokiona wao, lakini mbona imekuwa so easy by then, ameunga mkono mikono yote miwili na alitinga Ikulu maalim alipoapishwa, ukiwa mwanasiasa hutakiwi kuwa inferrior unatakiwa kuwa mbunifu kufikia malengo yako kutokana na wakati ulionao,
Lissu alikimbilia ubalozi alifkiri itakuwa jambo kubwa kwa nchi lakini hakukua na tija yoyote, yule lema naye canada hakuna anayezungumza hili sasa, ili uende ukimbizini lazima ionekane nchi angalau kuna vita japo imetokea kwa siku 1 au 2 hivi sasa hayo madai ya ukimbizi atampa nani., kule zanzibar wakimbizi walitokea ile miaka ya uongozi wa Mkapa lakini kulikuwa na kila sababu watu waliuliwa weng kwa risasi dunia ilielewa, inafahamika ulimwenguni January 27 Zanzibar kulitokea nini.
Chadema mumeganda na maazimio yenu yale yale wala hakuna tija yoyote iliyopatikana kwa Wafuasi na wanachama wenu ambao wanakutegemeeni, no change all the time tokea mumeanzisha hicho chama., Kule Zanzibar maalim hakuwa rais lakini sasa angalau kuna usawa kwa watu, haki zinapatikana kwa wote, matibau, kuna decipline ya hali ya juu at least ni vitu ambavyo watu walikuwa wanavililia muda mrefu sana, huwezi kuendeleza chuki muda mwengine wakati watu wanaumia na umri unakwenda hili ndio lengo kuu la maalim kama angeshika madaraka, japo wanaendelea na mikakati ya kushika dola 2025. Nikurudishe kwenye historia kidogo "Nabii Mussa A.S alilelewa na Firauna ambapo Nabii Mussa baadae ndo amekuja kuwa ni Mtume wa Mungu kwa watu wa zama zile.