Rais wa Ethiopia awasili Chato mkoani Geita. Rais Magufuli aahaidi kuwaachia wahamiaji haramu 1789 kutoka Ethiopia bila masharti

Alipohamishia serikali Dodoma mlipinga, Anafanyia kazi ikulu ya chato mnapinga, Asipofanya kazi mnasema kajificha corona.... Akianza kufanyia kazi mkoa gani kwenu itakua sawa?

Mamlaka ya rais iheshimiwe tuu
Na kesho kutwa akihamishia shughuli za serikali jikoni kwako najua watapinga na wewe utatetea!

Hiyo ikulu ya Chato ilijengwa lini kwa utaratibu gani?
Lakini najua uduni wa kujibishana na watu wa aina yako. Sijui leo nimekula nini kinachonisababishia hata nisome upuuzi wa mabandiko yako. Nitaachana na chakula hicho.
 
Ndio mana nimesema Chadema ni dhaifu sana na sio Institution imara yaani mtu kwa Level ya Makamo Mwenyekiti anakihujumu chama unasema.. Funny! It is ceremounus, Kwa msingi huo basi ulitaka maalim seif nae akubaliane na Lipumba kuokoa zile herufi 3 za neno CUF kwa vile Lipumba naye alikuwa ceremonius kwa kule bara? poor Chadema ivi hizi ndio fikra na utamaduni wenu? hiyo Narrow Approach itatoka wapi sasa.,

Maalim seif lazima atakuwa ni genious alikubali kukosa hiyo CUF lakini awe na jukwaa na strong Institution ambayo haina mamluki ndani yake na huyo ndio tunamuita mwanasiasa aliyebobea. Unaweza kunambia sasa iyo CUF na Lipumba yuko wapi ? lazima utagundua maalim ni genious., CUF ilitingishwa kwa sababu walijua ndio ilikuwa Taasisi imara Tanzania yenye kuleta upinzani, lakini akili ikafanya kazi na ku- turn decides hichi kilichotokea maalim seif na ACT ambayo leo amepata jukwaa la kufanyia siasa bila tofauti yeyote na alipokuwa na pengine yupo mahali imara zaidi.

Well.., yawezekana Zitto hakutarajia kilichotokea maalim kujiunga lakini ilikuwa Zitto hajafanya mashauriano na maalim na ACT Zanzibar kuona kile walichokiona wao, lakini mbona imekuwa so easy by then, ameunga mkono mikono yote miwili na alitinga Ikulu maalim alipoapishwa, ukiwa mwanasiasa hutakiwi kuwa inferrior unatakiwa kuwa mbunifu kufikia malengo yako kutokana na wakati ulionao,

Lissu alikimbilia ubalozi alifkiri itakuwa jambo kubwa kwa nchi lakini hakukua na tija yoyote, yule lema naye canada hakuna anayezungumza hili sasa, ili uende ukimbizini lazima ionekane nchi angalau kuna vita japo imetokea kwa siku 1 au 2 hivi sasa hayo madai ya ukimbizi atampa nani., kule zanzibar wakimbizi walitokea ile miaka ya uongozi wa Mkapa lakini kulikuwa na kila sababu watu waliuliwa weng kwa risasi dunia ilielewa, inafahamika ulimwenguni January 27 Zanzibar kulitokea nini.

Chadema mumeganda na maazimio yenu yale yale wala hakuna tija yoyote iliyopatikana kwa Wafuasi na wanachama wenu ambao wanakutegemeeni, no change all the time tokea mumeanzisha hicho chama., Kule Zanzibar maalim hakuwa rais lakini sasa angalau kuna usawa kwa watu, haki zinapatikana kwa wote, matibau, kuna decipline ya hali ya juu at least ni vitu ambavyo watu walikuwa wanavililia muda mrefu sana, huwezi kuendeleza chuki muda mwengine wakati watu wanaumia na umri unakwenda hili ndio lengo kuu la maalim kama angeshika madaraka, japo wanaendelea na mikakati ya kushika dola 2025. Nikurudishe kwenye historia kidogo "Nabii Mussa A.S alilelewa na Firauna ambapo Nabii Mussa baadae ndo amekuja kuwa ni Mtume wa Mungu kwa watu wa zama zile.
 
Ikulu siyo majengo, jifunze hilo kwanza!
Bwashee unazidi kuchapia kama huyo mtu wako unaemtetea, sikushangai make maji ufwata mkondo. Yeye mwenyewe aliwahi uliza akiwa Dodoma umuhimu wa lifti kwenye hospitali ya umma alipojibiwa ni takwa la kisheria akaishia kuwaambia jkt wawaweke ndani kwao wanaowachelewesha.
 
Kwani shida yako nini!? Katiba ya nchi huijui afu unalalama! Soma kwanza katiba ya nchi ujue! Magu anapita mlemle mwenye katiba ya nchi!
 
Kwani shida yako nini!? Katiba ya nchi huijui afu unalalama! Soma kwanza katiba ya nchi ujue! Magu anapita mlemle mwenye katiba ya nchi!
 
Kwani shida yako nini!? Katiba ya nchi huijui afu unalalama! Soma kwanza katiba ya nchi ujue! Magu anapita mlemle mwenye katiba ya nchi!
 

Ok anakuja kufanya nini tena?
 
Kwani shida yako nini!? Katiba ya nchi huijui afu unalalama! Soma kwanza katiba ya nchi ujue! Magu anapita mlemle mwenye katiba ya nchi!
sawa, sasa tuambie rais katokomea wapi ndugu? maana dar hayupo, dom haonekani
 
Hawa jamaa ni wataalamu wa biashara ya abiria na ununuzi wa ndege tunajifunza nini kwao utalii nao ni biashara huko Ethiopia tusimwachie aondoke bila kutuachia kitu
 
Ok anakuja kufanya nini tena?
Kutafuta uungwaji mkono
1. Mgogoro wa Ethiopia na Misri juu ya maji ya mto nile uaoanzia tz
2. Mgogoro wa Ethiopia dhidi ya tigray..
3. Deal la ndege za ethiopia kusafirisha mizigo ya TZ, samaki, nyama, -mwanza
Maua kilimanjaro arusha, matunda hasa parachichi songwe,
Nk
 
Kuna Waethopia wengi gerezani nchini kwa kosa la kujaribu kupita Tanzania kwenda Afrika ya Kusini nchi ya maziwa na asali lakini wanazuiwa lupango wakihudumiwa na Serikali ya Tz miaka na miaka Ethiopia ikikosa manufaa yoyote. Kama wangerudishwa kwao wangelipa kodi nchi yao na watu wake wangenufaika au wangeachiwa waendelee na safari yao mpaka Afrika ya Kusini wao na familia zao wangenufaika na Serikali yao na wananchi kwa jumla wangenufaika kwa fedha za kigeni ambazo wafungwa hawa wangetuma nyumbani kwa familia zao. Tanzania ina woga wa kijinga dhidi ya wahamiaji haramu ambao hawapo maana siku hizi nchi hii haina mvuto tena kwa hiyo hakuna mhamiaji mwenye akili timamu atafanya uamuzi kwa hiari yake kuhamia hapa akijua mateso kama hayo atakayopata. Waethopia wanaoshikiliwa hapa ni vijana kwa hiyo ni nguvukazi muhimu kwa nchi yao lakini wanatoroka nchi yao kwa matatizo hayohayo yanayowapata vijana wa Tanzania wanaozunguka na bahasha za khaki miaka na miaka. Ni dhahiri Rais wao amekuja kwa mazungumzo ya faragha ili raia wake waliofungwa hapa warudi kwao na watakaokuja waachiwe wapite kwa usalama waende waendako ili Tanzania isiendelee kupata hasara ya kugharamia kuwepo kwao nchini. Tutegemee viongozi wetu watamwelewa msomi huyo!
 
Eti wakuu huyu mama kaja kuongea ishu gani na mheshimiwa sana?
 
Priciples za biashara zipo wazi.
Biashara ina taratibu zake za kufanya ili faida ionekane. Unafikiri ukifanya biashara gizani unatagemea kupata nn kama sio aibu
 
Hawa jamaa ni wataalamu wa biashara ya abiria na ununuzi wa ndege tunajifunza nini kwao utalii nao ni biashara huko Ethiopia tusimwachie aondoke bila kutuachia kitu
Tuna mengi ya kujifunza Ethiopia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…