Rais wa Ethiopia awasili Chato mkoani Geita. Rais Magufuli aahaidi kuwaachia wahamiaji haramu 1789 kutoka Ethiopia bila masharti

Itakuwa amekuja kuwakomboa wale wahamiaji haramu waliokamatwa wakiwa wamasafirishwa kwenda South Africa
 
Nakumbuka mh.mmoja wa mkoa wa mpakani aliamrisha waliowekwa ndani waachiwe ila wasiruhusiwe kuvuka kuendelea na safari hadi waonyeshe makaratasi yaliyokamilika,wakakimbilia milimani,wenzie katika mamlaka zao hawakumuelewa kwa nini amewatoa rumande.Alipoulizwa alisema hawa watu hata waliohukumiwa wakafungwa ,hawataki kufanya kazi,magereza zetu hazina bajeti ya kutosha kulisha hata wanaofanya kazi,hawa wanaosafiri nje ya nchi wana pesa nyingi ndio maana wanasafiri na wanazo za kujilisha hapa kwetu hadi waishiwe,wakiishiwa lazima watatafuta vibarua na watafanya kazi vizuri kwa sababu lengo lao ni kubwa.
 
Hawa waethopia huwa wanarejeshwa kwao kwa msaada wa IOM shirika la wakimbizi duniani hapa Bado beberu ndie ubebeshwa mzigo kuwahudumia hawa chanzo cha matatizo ni watawala wa kiafrica mzigo anapewa beberu.Hawa weupe wangepewa roho za kiafrica duniani kusingelika kusingelika.Thus Mungu kawabariki sana.Sisi weusi tuwezacho ni kuzalisha wakimbizi duniani na sio kuhudumia wakimbizi.
 
Mambo ya Butiama ni historia bwashee.

Wakati Njombe ikiwa ni wilaya ya mkoa wa Iringa ilikuwa na Ikulu ndogo.

Kwahiyo tembea ujifunze, Chato ina sifa zote za kuwa na Ikulu kamili achilia mbali Ikulu ndogo kama ilivyo sasa!
Ninarudia tena....kwa sababu ya utashi wenu..... ndio maana mmeamua hivyo. Enzi zetu hatukufanya hivyo, tuliheshimu katiba, leo wewe upo mstari wa mbele kutetea chochote kinachofanyika kinyume na katiba. Sijui mmekuwaje vijana wa siku hizi
 
Alipohamishia serikali Dodoma mlipinga, Anafanyia kazi ikulu ya chato mnapinga, Asipofanya kazi mnasema kajificha corona.... Akianza kufanyia kazi mkoa gani kwenu itakua sawa?

Mamlaka ya rais iheshimiwe tuu
Tumewazoea hawa pinga pinga! Habari yao kwishney!
 
Hapa unafurahisha sana.... Kwani Dunia nzima haijui Lissu alikoswa koswa kifo before? Dunia haijui Saa Nane na Katibu wa CHADEMA Hananasif naye walikutwa na mauti kwa style ya Lissu?
Usi justify wakimbizi wa Shimoni alafu ukadharau tatizo la Lissu huyo Maalim angeshambuliwa risasi 16 angekuwa na audacity ya kurudi kugombea?

But Lissu came back despite the odds na alijenga momentum kipindi chote cha kampeni kiasi Membe akafutika kabisa na ikaonekana hata Jiwe sio invicible kama ilivyodhaniwa.

Lissu alifahamu sana wasingeweza mdhuru wakati wa kampeni sababu alikua kwenye limelight ila baada ya kampeni ukifanyiwa lolote watajitetea kwa kusema "kama tulitaka kumuua kwanini tusingemmaliza wakati wa kampeni"??? Na hata ww ungekuja humu kukubali hyo justification.

So Lissu was right kuondoka for the meantime na wote tunafahamu hata Maalim baada ya kuporwa uchaguzi wa 2015 naye alienda tour ya dunia nzima kutafuta haki yake kma mnaona anachofanya Lissu ni ujinga then Maalim was a fool 10 times!! Coz he did set the precedence.
 
Unadai Makamu mwenyekiti kuwa ceremonious ni lack of strong institution!! Ilihali Maalim naye ni ceremonious SUK?? ama unakiri SUK nayo haina strong institution?

Well Zitto knew nothing kuhusu negotiation za Maalim na CCM kma ambavyo Lipumba knew nothing kwenye zile 5-Men negotiation za November 2015!! Sasa unaposema ACT mna strong institution nikueleweje? Unless u mean mna powerful individual in the name of Maalim??
CHADEMA walikuwepo powerful People kma Dr.Slaa, Dr.Kaborou, Wangwe, Zitto, Kafulila n.k but all where moved on na CHADEMA haikuwahi tetereka ndio maana mpaka leo bado kipo mikoa yote ila vp CUF/ACT ambacho Maalim amekua kiongozi miaka 25+? Kimeenea nchi nzima?

Huwezi shabikia CUF kufa kisa Maalim kutoka maana ni udhihirisho kwamba Maalim alijijenga kma Individual sio taasisi? Succession management ilikua very poor hata ACT leo Maalim akistaafu sioni wa kufit labda Jussa tu ambaye naye atakumbana na upinzani mkubwa kutoka kwa wahafidhina wa chama!!

Tofauti na CHADEMA ime groom vijana wengi sana ambao wakienda CCM ni lulu.... Hata Roster tu ya BAVICHA/BAWACHA is enough to take over the management should the entire central committee defect? ACT mna vijana gani potential? Au ndio Maalim tu kwenye A to Z?

Linapokuja suala la CHADEMA kuwa taasisi.... ACT should be the last one to advise. Uwepo wa kanda imara na mabaraza imara hasa BAWACHA is enough kuwaonyesha kuwa ni taasisi imara isiyotegemea Demi-gods kama Maalim ambao wakitoka chama kinakufa kama NCCR au CUF!!
 
..mimi naomba Raisi wa Ethiopia asije akatolewa kauli za KUDHALILISHA.

..najua mtu fulani mara kwa mara ametoa kauli zisizo na heshima kwa WANAWAKE WEUPE.
 
Alipohamishia serikali Dodoma mlipinga, Anafanyia kazi ikulu ya chato mnapinga, Asipofanya kazi mnasema kajificha corona.... Akianza kufanyia kazi mkoa gani kwenu itakua sawa?

Mamlaka ya rais iheshimiwe tuu
Mamlaka ya raisi iheshimiwe lakini uhuru wake ni kama umepitiliza. Katiba irekebishwe kwa kweli.
 
..mimi naomba Raisi wa Ethiopia asije akatolewa kauli za KUDHALILISHA.

..najua mtu fulani mara kwa mara ametoa kauli zisizo na heshima kwa WANAWAKE WEUPE.
Chadema ndio wanawaita wabunge wao Covid 19, huu ni udhalilishaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…