Rais wa Ethiopia kutembelea Tanzania kwa ziara ya siku moja

" Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja" Ahadi ya 1 Mwana TANU.Natamani Rais wetu abatilishe baadhi sheria uhamiaji tulizo copy kwa Wazungu, dhidi ya madhila ndugu zetu wa Ethiopia na Somalia wanaopita njia kujitafutia riziki. Tunapoteza kipato utalii wa ndani pia wangeweka ada kidogo na kibali mpakani,boda.
 
Nenda kawaulize hao wahamiaji haramu, usituchoshe bana aah😔!
 
Si aseme shida iko wapi? hizo Ikulu ni zetu Wananchi na tunataka akae na kufanyia shughuli zetu huko.
 
Hapa panaitwa mtakuja tu, hongera Magufuli
Hivi kweli hata wewe unashangilia ujio wa Kiongizi huyo ambae raia wake wamekuwa wakikamatwa mara kwa mara nchini mwetu wakiwa wamejazana kwenye malori wakijaribu kuikimbia nchi yao?? Anafaida gani kwa nchi yetu huyo??
 
Hana majibu kama huku
 
Unajiona una akili mwenyeweee
 
Kwa hiyo mkuu wa wilaya ya Chemba akiuguliwa na mama yake anahamia kwao na shughuli zote za serikali?
 
Kwa hili kiukweli linashangaza,,mwaka jana mwishoni nilienda uhamiaji mkoa mmoja hivi kushughulikia passport,,niliumia sana kuwakuta vijana karibia 30 ethiopian na wadogo kbs wengine wamerundikwa pale..na mara nyingi wanakamatwa...Yaani bongo tunalalamika maisha magumu na changamoto za sasa but real life kea wenzetu ni tatizo sana
 
Kweli huyu raisi sio m Tigray kweli ama ni mu omoro jamani. Aje atuambie kuwa amewafanyeje kizazi cha Suleiman kule mana wametengwa hawapewi madaraka saivi wanachukua wachunga ng'ombe mana na huku nako kagame kaweka watutsi wenzake madarakani yaani jaribu kumsoma ntamaholo anavyochambua safu ya uongozi Wa kagame
 
Chato ina kila sababu ya kujivunia kutoa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…